Inaonekana nchi zote mzungu anazoziwekea vikwazo hufikia mkwamo na kuhitimisha hiyo hali kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe.
Haya ndiyo yanayoendelea huko Zimbabwe baada ya kuzimwa internet.View attachment 999722View attachment 999723View attachment 999724View attachment 999725View attachment 999727View attachment 999728View attachment 999729View attachment 999730View attachment 999731View attachment 999732View attachment 999734View attachment 999735View attachment 999736View attachment 999737View attachment 999738View attachment 999739View attachment 999740View attachment 999741View attachment 999743View attachment 999745
Sent using Jamii Forums mobile app
AU imeundwa na mbwa mwitu hao hao akina Ali Bongo, Kagame, Mseveni, Kabila unategemea lolote hapo??Hapo ndio huwa nashangaa AU Sijui hiko kwenye syllabus kwa nini? Wamekaa kimya mpaka wasikie EU kasema ndio waje kupinga.
Wanajuana hao ndio maana wanaipinga ICC!Hapo ndio huwa nashangaa AU Sijui hiko kwenye syllabus kwa nini? Wamekaa kimya mpaka wasikie EU kasema ndio waje kupinga.
Yaani umchague jiwe kwa mikono yako halafu Mungu akusaidie tena!