Na mimi sahivi nipo Mara. Yaani ni kama vile waya wa internet ya halotel umekatika zimebaki nyuzi chache ndio zinashikilia. Awali 4G ilikuwa inafika mpaka 8gbps lakini sahivi hata kufungua jamiiforum ni kwa mbinde, kuangalia video YouTube hata 360p inakwama kwama dah!. Sijui tatizo nini?.