Naombeni msaada, ninatumia IE version 8 lakini sasa nikiclick link ili tab nyingine ifunguke au media player link itokee etc tab/link inatokea lakini iko empty inasearch indefinately. Kama kuna alieelewa tatizo tafadhali nielekeze in lay man's term jinsi ya kutatua hili tatizo.