Internet download manager is the best!!!!!!!!!

Internet download manager is the best!!!!!!!!!

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
308
Sasa hivi ukitaka kudownload high quality movies and tv episodes hamna haja ya torrents tena

IT'S VERY SIMPLE

1.make sure umeinstall IDM in your PC

2.tembelea hii site inaitwa wootly...Wootly.ch ,then search for any movie or tv episode u like

3.Click kwenye link itakayotokea then itafunguka page nyingine click play

4.then IDM ita appear upande wa bottom-left itakuambia "download video"...just click and u'r good to Go
 
HIZI threads zina zidi kua nyingi sana, Kama Alivyo sema Chief kuwe na Sticky Thread kule store ili watu watoe kile walicho nacho itasaidia sana,
yangu hii HAPA
 
ushauri mzuri then iyo link uliotoa inataka nidownload emule sijui hadi uidownload ndo itapiga kazi au kuna njia nyingine

Ningar hio emule wamekutrick wana advertise ukiclick movie au series itafunguka new tab utaona link nyingii zote hizo ni za kustream ila idm inadaka streaming video na kuzidownload.
Hasara yi hii web ina advertise nyingi
Faida ina streaming, streaming video zinakupa speed ya kubwa ambayo hujawahi ipata just try
 
GOOD IDEA, itabid mods watusaidie kwa hilo kwasab lengo ni wadau tufaidike....in the mean time mkuu naomba nisaidie jins ya kui customize hii emule baada ya kuidownload

Achana na emule upuuz huo tumia hio hio idm wanatrick watu kwa matangazo watumie imue kuifanya iwe maarufu
 
jamani wapi nitapata idm full?

nenda kwenye google search for any version ya idm mbele yake andika crack+keygen...eg idm 6.08 crack+keygen........ukishadownload then usome lile file la "read me" kabla hujainstall
 
Back
Top Bottom