BobKinguti
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 228
- 87
Mkuu Kuna Jamaa kanitell kuwa ili uwe na Credit card pale bank ya maendeleo Vijijini mpaka uwe na mtaji usiohamishika wa tumilioni tumoja.
sasa inakuwaje au ilikuwa ni janja yake ya kutukamua kiaina?
Vip hizi Debt card za Visa electron zinazotolewa kwa wateja wa KCB nazo zina join paypal?
Sio kweli. Kiwango cha kufungulia akaunti ya kawaida ya akiba kwa CRDB Bank ni elfu 20. Na ukishafungua akaunti unatengeneza kadi free of charge, baada ya wiki 2 utaambiwa urudi kuja kuchukua kadi yako.