Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kwenye vifurushi vizuri na bei reasonable, Airtel hawana mpinzani
Habarini wakuu.
Internet bundles zimekuwa issue sana,
Nawasilisha wandugu.
Habarini wakuu.
Vifurushi vya internet vinatumaliza sana,makampuni hayaeleweki, kuna kama vifurushi hewa, vifurushi vya uongo.
Halotel wakikwambia una 1.5 GB usiwaamini kabisa, halisi zinakuwa 800 MB, 700 MB ni hewa kabisa.
Voda vifurushi vyao vinaisha haraka sana na havina speed kabsa.Ukiwa Dsm ni balaa zaidi.
Tigo nao vifurushi vyao vinapukutika mno.
Wandugu, ni mtandao gani una vifurushi vizuri, vya bei reasonable na unapatikana maeneo mengi hasa vijijini? Airtel vipi wakuu?
Internet bundles zimekuwa issue sana,
Nawasilisha wandugu.
Voda nawaelewa zaidi kwenye kasi iwe mjini au vijijini hawana mpinzani.Vodacom sio kweli mimi natumia voda kwaajili ya internet tu
Nikijiunga gb1 naweza kuangalia video siku. Nzima huwa najiunga saa nne usiku mpaka saa nne usiku ,hapo natizama videos na mambo kibao
Kuhusu spidi hakuna shaka voda ndio inayoongoza kuliko mitandao yote ndio maana binafsi na line ya voda ila kwaajili ya net tu
Tatizo kubwa ya voda ni gharama ila kwa internet hawana mpinzani utafiti nimeufanya kwa dar tu
Gharama ndogo nahisi halotel kama hawajapandisha
Speed ya konokono walishaacha?Kwenye vifurushi vizuri na bei reasonable, Airtel hawana mpinzani
Usiwe unafanya hasty generalization.Vodacom sio kweli mimi natumia voda kwaajili ya internet tu
Nikijiunga gb1 naweza kuangalia video siku. Nzima huwa najiunga saa nne usiku mpaka saa nne usiku ,hapo natizama videos na mambo kibao
Kuhusu spidi hakuna shaka voda ndio inayoongoza kuliko mitandao yote ndio maana binafsi na line ya voda ila kwaajili ya net tu
Tatizo kubwa ya voda ni gharama ila kwa internet hawana mpinzani utafiti nimeufanya kwa dar tu
Gharama ndogo nahisi halotel kama hawajapandisha
Vodacom sio kweli mimi natumia voda kwaajili ya internet tu
Nikijiunga gb1 naweza kuangalia video siku. Nzima huwa najiunga saa nne usiku mpaka saa nne usiku ,hapo natizama videos na mambo kibao
Kuhusu spidi hakuna shaka voda ndio inayoongoza kuliko mitandao yote ndio maana binafsi na line ya voda ila kwaajili ya net tu
Tatizo kubwa ya voda ni gharama ila kwa internet hawana mpinzani utafiti nimeufanya kwa dar tu
Gharama ndogo nahisi halotel kama hawajapandisha
Voda ndo mpango mzima huku kwetu kanda ya ziwa, mb 1024 kwa buku tu.Vodacom sio kweli mimi natumia voda kwaajili ya internet tu