Internet bundle

Mchepuko1

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
215
Reaction score
103
Mwenye ujuzi wa kuunga bundles naomba kujua jinsi wanavyounga hivyo vifurushi ikiwa ni Salio la SMS kupiga na kuperuzi(internet).
 
Mwenye ujuzi wa kuunga bundles naomba kujua jinsi wanavyounga hivyo vifurushi ikiwa ni Salio la SMS kupiga na kuperuzi(internet).
Hiki hapa konk cha halotel cha Royal bundle 10k kwa mwezi internet mwez mzima hata ukitumia kila siku gb 10 ni ww tu na dakk za mitandao yote 120 na halotel kwa halotel dakk 300 hizo sms 500 hizo gb hizo 3.5 ni za kasi kubwa ila hata zikikata siku hiyo hiyo Internet haikatiki unaendelea kuperu mwez mzima ukipiga hesab hapo kila siku unakuwa umetumia 300 tu. Ni mtandao gani ama kifurushi gani kingine cha nafuu kama hiko hapa tz!??
 

Mkuu mbona kimeandikwa Gb 2 kasi kubwa,Gb 1.5 wastani na wewe hapa mkuu umeandika hata kwa siku ukitumia GB 10 ni sawa,hapa inawezekanaje mkuu?
 
Inaw
Mkuu mbona kimeandikwa Gb 2 kasi kubwa,Gb 1.5 wastani na wewe hapa mkuu umeandika hata kwa siku ukitumia GB 10 ni sawa,hapa inawezekanaje mkuu?
Inawezekana mbona [emoji3][emoji3] sema ukiadithiwa ni kama vile uongo flani hvi lkn ni kweli. Cha msingi wee nunua line ya royal ufaidi net mwezi mzima.
Ila ukishamaliza hizo gb 3.5 kasi inapungua kidogo lkn fb, insta na Twitter unateleza kama ulaya.
 
Mkuu afadhal ww useme labda anaweza kuelewa nmesema vizur kweny comment yang kuwa wanakupa gb za kasi ila hata zikiisha usiwaze utaendelea kupata Internet mwezi mzima ila nadhani hapo hakupaona ama haamini ukiwa na laini ya 4g kama mimi speed ni kali kinoma hata baada ya kumaliza zile za kasi ndio maana mimi nmebadili kwenda 4g nmetaka speed iongezeke na kwel imeongezeka vizur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…