Nyamuleha jr Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 185 Reaction score 65 May 2, 2014 #1 Nimechukuwa form ya kujiunga na internent bank ili niweze kufanya online transaction sasa hapa chini kuna nafasi tano za account to be linked unazipataje
Nimechukuwa form ya kujiunga na internent bank ili niweze kufanya online transaction sasa hapa chini kuna nafasi tano za account to be linked unazipataje
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 May 2, 2014 #2 siyo lazima we jaza account yako kama unayo zaidi ya moja ndo endelea kujaza hiyo sehemu!
Nyamuleha jr Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 185 Reaction score 65 May 11, 2014 Thread starter #3 Poa mkuu kwanza mimi nilichukua fomu ambayo siyo kumbe nilitakiwa kuchukua ile ya purchase