Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Kwa heshima na taadhima wana Jf wapenzi wa soka siku ya J'tano 24 February 2010 tutashuhudia kabumbu kati ya Inter Milan na Chelsea, si hivyo tu bali tutashuhudia makocha wawili wenye historia nzuri na Kombe hili. Nimeanzisha hii thread ili tuwe neutral tuchangie kwa pamoja na tuwe huru kwani hawa Inter hawana thread hapa.
Tukianza na José Mário dos Santos Félix Mourinho anajulikana kama The Special One.
Akiwa na Porto keshawahi kushinda UEFA Cup mwaka 2003 pia akashinda UEFA Champions League mwaka 2004 akiwa na Porto,baada ya kuhamia Chelsea akachukua EPL mara mbili mfululizo 2005 na 2006 na baada ya kuhamia Inter Milan amefanikiwa kushinda Serie A title 2009,kwa hiyo ni kocha anayewafahamu vizuri Chelsea
Carlo Ancelotti yeye pia ni kocha mzoefu,amekuwa na mafanikio mazuri akiwa na Ac Milan,amekwisha wahi kushinda UEFA Champions League mara mbili 2003 na 2007.Ni mmoja kati ya makocha 6 ambaye ameshawahi kushinda UEFA Champions League mara mbili akiwa kama mchezaji 1989 na 1990 na mara mbili akiwa kocha.Akiwa na Chelsea ameshinda Community Shield 9 August 2009 baada ya kuwafunga Manchester united kwa penati
Je tutazamie nini kutoka kwa timu hizi hapo j'tano? mwamuzi ni dakika 90. Kwa wale washabiki wa Chelsea naomba tujumuike pamoja hapa na si ku log off na kuwa Guests.
NB: Mods naomba hii muiache hapa na baada ya mechi ya marudiano muiondoe na kuipeleka pale mnapoona inafaa.