International Women's Day | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

International Women's Day

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanilo, Mar 8, 2009.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani nawatakia kila laheri wanawake wote kwenye siku yao ya kuwakumbuka wakina mama duniani..wadada wa JF nawatakia kila lililojema

  Mzee Masa
   
 2. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Masanilo, naomba kuungana nawe na wanajamvi wenzangu kuwatakia mama, dada, wake, ndugu, na wakina mama wote heri ya siku ya wanawake duniani!!
   
 3. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hongereni kina mama nami nawatakia kila la kheri.

  Ninaswali pia, Masanilo........ sijawahi sikia siku ya kinababa. Hivi kuna siku ya wanaume au chama cha wanaume? au ndio mfumo jike?
   
Loading...