Panama alichapwa 1-5 na Spain jana,basi wakapata bao lao la kufutia machozi kwa njia ya penati dk 87,walikuwa kwao wakashangilia sana kupata bao lao 1 kama Stars ilipocheza na Brazil wakati ule wanajindaa na world cup 2010
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.