International Schools zina nini cha zaidi?

International Schools zina nini cha zaidi?

Tungekuwa na waalimu wa kufundisha kizungu for kama Kenya au Uganda, tusingeenda hizo, international, lugha ya kimombo ni Swahili ya dunia, kukijua ni muhimu Sana, Dunia ni, kama kijiji, wanaotoa ajira nzuri, ni Hao wanaoongea kizungu vzr!

Al Jazeera yote hqkuna mtangszaji mbongo! CNN yote hakuna mbongo, ukitaka kujua, umuhimu wa, kizungu muulize, Prof Tibaijuka, Dr Steregomena Tax, Dr Asha migiro, au, Muulize Dr Talimba, na Aden rage kwanini watoto wao waliwapereka Vyuo vya Melbourne austaria,au muulize yule kijana Benjamin Fernandes boss wa, NARA, acha kuuliza watu vilaza ambao umwamba wao, unaishia kupiga picha na hauvuki mipaka, Maulid kitenge, Gerald hando, chombo gani kingine ndani, ya Afrika kinaweza kumpa ajira!
Kafwifwilo FM ipo huko Sudan kusini
 
Kids learn Music, Art, makerspace( engineering), drama or guidance, and the most important part ni being inquirers
 
Tofauti ni kwamba ukisoma shule za kata utaishia kuwa polisi, Dr., mwl, bank teller etc lakini ukisoma international schools utaishia CEO wa hallotel, Voda, UNDP, WHO etc na tofauti hii inatokana na kwamba wewe ulisoma elimu yooote kwa gharama ya tsh. Mil. 20 (ikiwemo bumu la HESLB, mahindi ya kuchemsha na mkaango na hata bwimbwi (unga wa mkaango), yebo , ugali ngogwe etc) lakini mwenzio hii ni ada ya muhula mmoja.
 
Kwanza, international schools zinatumia mitaala ya kimataifa kama vile Cambridge Curriculum, IB na Waldorf. Mtoto wa Cambridge Bongo akihamia India aunMatekani, ataenda Cambridge ya huko na kuendelea pale pale alipoishia huku bongo.
Siyo St. Mary's wantumia NECTA halafu wanajiita international.

Pili, approach ya ufundishaji ni tofauti na wa NECTA.
NECTA walimu wanapiga lecture, wanakaririsha wanafunzi. International curriculums zinatumia hands on activities na namna zinazomfanya mtoto awe mchunguzi na mchambuzi.
Watoto wa primary tu wanafanya research (kwa level yao) na kuzifanyia presentations, wanafanya experiments, Wana classify vitu n.k

Ukija kwenye computer na ICT, wana computers, smartboards, hata ubao si wa chaki, mostly wantumia boardmarkers.

Pia, watoto wa international wanapewa nafasi ya kuexplore Dunia.
School trips sio limited kwa nchini tu. Wakubwa wanaenda nchi zingine kama Egypt, Italy n.k kutokana na matakwa yao.

Pamoja na hayo, content ya international schools ni tofauti sana na NECTA.
Mf. English tunayosoma NECTA ni basic English grammar. English ya Cambridge ni Ile ya Native speakers. So by darasa la tatu utakuta watoto wanachambua phrasal nouns au writing techniques zilizotumika kwenye text, vitu ambavyo sie tulisoma kwenye Language ya A-level.
Hata content nyingine ni recent katika technology, history ni ya Dunia nzima kama Roman Empire, Greece, Sumerians, e.t.c sio NECTA watoto wetu wanasoma John Speke na IBEACO za mwaka 1890s huko.


Mambo ni mengi... Siwezi andika yote.
 
International school zinakupa connection kitu cha mihimu katika zama hizi

Mtoto wako anasoma na watoto wakina gsm unafikiri atakua sawa na mtu aliyesoma kayumba
Kupata scholarship za nje pia ni rahisi. Pia kwa watoto wanaofaulu sana wanafadhiliwa

Wengi wao wakimaliza hutafutiwa chuo nje na hizo hizo Shule . Kama unauwezo , I recommend.

Necta ni mlolongo mrefu. EM na govt schools no big difference

Shida kubwa waTZ tunazaa san
Unakuta una watoto 3 mshahara wa mil 3 kwa mfano….. huu mshahara ni mdogo sana kusomesha watoto 3 International schools . UTAISHIA EM za 1.8 kwa miezi 6 au kwa mwaka

But ukizaa kwa mpango, mtoto 1 hushindwi. International school zinaanzia 8M to 10 up to 15M etc per annum
Mimi nashauri zaeni kwa mpango watu weusi mna mambo ya ajabu ajabu sana . Eti kila mtoto anakuja na ridhiki yake . Achen hizo mambo

Kojoa kwa akili

Pia mtaala wa Necta una wapeleka watoto kusoma miaka mingi

Hizo international schools mtoto anamaliza form 6 at 15 yrs old , chuo anamaliza at 20 hata kama kasoma medicine

Ndio maana unakuta kijana wa 28 ni already prof now days

HUKO TZ prof ni 60 years and above

Tukubali mabadiliko ya dunia

msije kuwa kama huyu black anaeomba fulusi ( hela) kwenye black cubic. Unachoma hela not less than 1000 usd kwenda Makkah kuomba jIwe hela 🤣.
Watu weusi tuna mambo ya ajabu snaa. Fanyeni kazi hakuna hela inayokuja kwa mambi
 

Attachments

  • 05CD60E3-EF5B-442C-AFA0-4A20773BBDC6.mp4
    1.3 MB
  • 8B000A16-8053-4A4E-84B4-ADF77A140A91.mp4
    3.4 MB
Hakuna mtu mwenye hela anaetaka kumpelea mtoto wake shule ya kata au St Kayumba,ni umasikini tu unafanya watoto wakasome shule za kidumu na fyagio
 
Faida ni siku ukifa watoto wako watasoma historia yako kwa ung'eng'e ili kubalance standard za watu msibani
 
Back
Top Bottom