INTERNATIONAL RELATION AND DIPLOMACY

caiden mills

Member
Jul 13, 2019
49
19
Kwa yeyote mwenye uelewa na course hii anijuze tafadhali.... Mahali inapotolewa tanzania na vigezo ufauru wangu nina BBB Comb Hgl
 
Inahusu diplomasia na mahusiano ya kimataifa ,,unasomea itifaki ,na usuluhishi na mahusiano baina ya nchi na nchi........ofisi za ubalozi,mashirika ya amani ,idara za usalama pamoja taasisi kubwa za mihimil.ikulu na bungen ndo mahala pa kazi
 
Hapa umeshamchanganya. Atajiona kala maisha, akati kuna watu lukuki wapo mtaani

Back
Top Bottom