ahsante kwa kutambua mchango wangu katika ushauri wa kielimu....hii course inatamkika vizuri sana ...inashawishi kuisoma....in fact inahusu mambo ya mahusiano ya kimataifa ikiwemo diplomasia hususani katika masuala ya ubalozi ...field unapata katika nyanja mbalimbali mfano ICC Arusha au ubalozini ....ni course nzuri sana lakn ajira zake kwa miaka hii ni ngumu sana kama hauna connection usifate tittle ya course ..soma kitu kinachouzika ujikwamue na maisha magumu ...akina X wanatushauri tujiajiri ili hali wenyewe wameajiriwa ...huu ni ubwege