International migrants

International migrants

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,892
Reaction score
13,102
Kuna watu wanasema Russia sio nchi inayovutia kwa watu wanaotaka kuhama.nimebaini wengi wao hawana Elimu ya kutosha.hizi data zinaonesha Russia ni nchi mojawapo ambayo wetu wengi wanahamia.

Screenshot_20231002-192547.jpg
 
Hizi vitu havihitaji nguvu kubwa sana, unaingiza watu 11milioni alafu unatoa watu 10milioni.
 

Attachments

  • Screenshot_20231002-212115_Chrome.jpg
    Screenshot_20231002-212115_Chrome.jpg
    148.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231002-212101_Chrome.jpg
    Screenshot_20231002-212101_Chrome.jpg
    169.9 KB · Views: 1
Hoja hapa ni watu wengi pia wanahamia urusi.
Hoja ni kuwa wanaohamia hawaondoki, make unaweza kwenda sehemu ukitarajia kitu flani then unafika tu unakuta siyo kabisa. Mfano wanaohamia China ni chini ya 2milioni ila wanaondoka China ni zaidi ya 10milioni ...
 
Back
Top Bottom