engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
FT
Namibia 1 - 1 Tanzania
Kocha wa kueleweka ndio nini? Unafuatilia mpira wa Tanzania kweli ama ni mtumwa wa EPL? Humjui Salum Madadi!Leo Tanzania inacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Namibia, hizi ni mechi zipo ktk ratiba ya FIFA, lakini cha kushangaza ni kwamva timu hii ya taifa ya Tanzania imekwenda Namibia bila hata kuwa na kocha wa kueleweka.
Tunaelewa ktk soka kuna matokeo matatu yanaweza kutokea, kufungwa, kushinda ama kutoa sare
Niwatakie kila lenye jema Taifa star's
Kocha wa kueleweka ndio nini? Unafuatilia mpira wa Tanzania kweli ama ni mtumwa wa EPL? Humjui Salum Madadi!
Salum Madadi ambaye ni kaimu mkurugenzi wa fundi wa TFF ameteuliwa pia kuwa kaimu kocha wa Taifa Stars. Alishawahi kuifundisha Taifa Stars na pia kuwa kocha mkuu wa Simba miaka ya nyuma. Ana leseni ya juu ya CAF.Salum madadi ndio kocha wa taifa kwa sasa? Ameajiliwa kama kocha ama ni mfanyakazi wa TFF?
Salum Madadi ambaye ni kaimu mkurugenzi wa fundi wa TFF ameteuliwa pia kuwa kaimu kocha wa Taifa Stars. Alishawahi kuifundisha Taifa Stars na pia kuwa kocha mkuu wa Simba miaka ya nyuma. Ana leseni ya juu ya CAF.
Kocha wa kueleweka ndio nini? Unafuatilia mpira wa Tanzania kweli ama ni mtumwa wa EPL? Humjui Salum Madadi!
Mkataba wetu na wadhamini unatutaka tucheze mechi zote za kimataifa kwenye kalenda ya FIFA, tunawajibika kuuheshimu na kuzingatia mahitaji yake.Mkuu Jamal Malinzi, hivi ilikuaje hadi TFF ikateua wachezaji wa timu ya Taifa, ikaomba mechi kwa mujibu wa kalenda ya FIFA pasipo kuwa na kocha au maandalizi yoyote?
Kuna ulazima gani wa kucheza mechi hizi ikiwa hakuna kocha wa kuwapima wachezaji anaowataka?
Au ndio kusema kaka Madadi ndiye mrithi wa Poulsen kwa sasa?
Muda wa maandalizi haukuwepo,sio tu kwa Tanzania,bali kwa nchi zote za Afrika ambazo vilabu vyao vinacheza ubingwa wa Afrika.
Ndio maana Kiiza na Okwi wame scramble kwenda Zambia kuchezea Uganda bila hata kuingia kambini,the same for south africa wanaocheza na brazil leo.
CAF wamefanya return leg ziwe za siku saba badala ya 14 kwa sababu ya world cup,hiyo ndiyo hali halisi tuliyomo.
Mazungumzo na Kim,labda wewe unisaidie,yalianza lini? Na kwa mujibu wa kalenda ya vodacom premier league na ligi daraja la kwanza,hiyo timu ingekuwa assembled lini?
Wambura said they have already informed Taifa Stars coach Kim Poulsen about the issue so that he can now start preparing his programmes.
saa mbili usiku kwa masaa ya Tanzaniagemu saa ngapi..
Rainford Kalaba yuko ndani ya kikosi cha Zambia dhidi ya Uganda,Emma Okwi,Hamis Kiiza yuko ndani ya kikosi cha Uganda dhidi ya zambia leo.Kwanini Tanzania haina Ulimwengu na Samatta dhidi ya Namibia?
Wanaogopa kuvunjika, watz hatutambui umuhimu wa mechi za kirafiki ndio maana wameamua club kwanza taifa baadae.
kwa wapenda soka mnaweza angalia mechi kupitia hii link hapaLeo Tanzania inacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Namibia, hizi ni mechi zipo ktk ratiba ya FIFA, timu hii imekwenda Namibia na Salum Madadi ambaye ni kaimu mkurugenzi wa ufundi wa TFF ameteuliwa pia kuwa kaimu kocha wa Taifa Stars. Alishawahi kuifundisha Taifa Stars na pia kuwa kocha mkuu wa Simba miaka ya nyuma.na ana leseni ya juu ya CAF.
Namibia vs Tanzania.Live.Stream.Free - Imgur
Namibia vs Tanzania.Live.Stream.Free - Imgur
mechi itaanza saa mbili kamili usiku kwa saa za Tanzania,unaweza kufuatilia hii link ili kuelewa zaidi
Namibia vs Tanzania - International Friendly 2014-03-05 Live Streaming - Online Football TV
Na timu hii imefanikiwa kufanya mazoezi siku moja tu.
Tunaelewa ktk soka kuna matokeo matatu yanaweza kutokea, kufungwa, kushinda ama kutoa sare
Niwatakie kila lenye jema Taifa star's
mungu ibariki Tanzania
mungu ibariki Taifa Stars