International Friendly Match, Taifa Stars Vs Malawi The Flames | Uwanja wa Benjamin Mkapa

90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki huku matumaini ya The Flames kusawazisha yakitoweka

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Taifa Stars wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa bila dhidi ya The Flames.

FT: Taifa Stars 2-0 Malawi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom