International Driver License kwa mimi Mtanzania naipataje?

Habari wakuu,
Kwa manufaa ya wengi naomba kujua jinsi ya kupata International Driver License kwa hapa Tanzania.
Mkuu
Kachunguze mwenyewe Huyo aliyejibu hili swali sijui kama anajua kitu sababu angekupa details, yeye kakujibu tu kama anakuelekeza soko la kisutu kununua kuku!
Mwambie mtu makao makuu idara Fulani! Makao makuu Ina offisi ngapi wewe utaenda ipi?
Kwanza sijui kama kitu hiki kipo sababu nchi nyingi zina mfumo tofauti na wa zamani.
Zamani nakumbuka kulikuwa na AA automobile association of Tanzania. Siku hizi siwaoni hapa naona Nairobi wapo hawa ndio walikuwa wanatoa International Licence kwa kushirikiana na Traffic.
Ulaya au Marekani hata uwe na hiyo international lazima utahiniwe upya ambavyo no sawa tu na hii ya kawaida.
Nchi za SADC, COMESA wana bilateral relationship wakitambua Licence zao kwa pamoja sasa sielewi hii international inatumika wapi.
 
Shukrani sana mkuu kwa maelezo
Ni kwamba kuna kazi nataka ku apply sasa mojawapo ya requirements ni lazima uwe na hyo International Driving Licence hapo ikanitatiza kidogo
 
Kulikua kuna hii inaitwa AA pale maeneo ya faya ndio walikua wanahusika kwa sasa sijui wako wapi ila magari yao bado nayaona mara moja moja
 
Shukrani sana mkuu kwa maelezo
Ni kwamba kuna kazi nataka ku apply sasa mojawapo ya requirements ni lazima uwe na hyo International Driving Licence hapo ikanitatiza kidogo
OK pia nashukuru kutambua juhudi na ari ya kujaribu kukusaia.
Naendelea kutafiti nitakupa tathmin ya utafiti wangu.
Watanzania wengi in watu wa ajabu sana hupenda kuridhisha mtukwamba wanajua jambo na kuonyesha sana roho nzuri ya kusaidia kumbe unafiki tu.
Mwingine anakuambia nenda NIT hakupi Maelezo huyu so in mtu tu anaerukia maneno na kujionyesha kashiriki nyuzi?
Mzungu akija hapa na International yake analazimu afanye test, hali kadhalika hiyo international Driving yako huko unakotaka kuipeleka sio sifa kamili kukuwezesha kuendesha gari au kuajiriwa huko bila kutimiza vigezo na masharti ya nchi hiyo.
Mimi najua nimeendesha gari nchi nyingi za Africa na ulaya.
Ilinisumbua kidogo DRC kwenye Miaka ya 96,98, wakiidai hiyo nilirudi Tanzania sikupata ufumbuzi wake, nikascan licence yangu na kuweka International wacongo hawajui kingereza njkawafunga goli nikaendelea.
Hivyo ngoja nichimbue nitakuambia ukweli wa hili jambo.
 
Habari wakuu,
Kwa manufaa ya wengi naomba kujua jinsi ya kupata International Driver License kwa hapa Tanzania.
Niliwahi kuipata miaka ya nyuma.Unakwenda trafiki watakuhoji maswali,wakiridhika kulikuwa na kiasi unalipia then unakwenda AA (automobile association) inalipia na kupewa leseni
 
These are the answers of a genuine gentleman.
Lakini ndio nimezungumza hapo awali hii ilikuwa Siku za nyuma sadaivi mambo yamebadilika tutafiti kwanza AA wako wapi?
 
Back
Top Bottom