Inategemea unapiga wapi. Mimi nina simu ya ZAIN na napiga sana UK kwa watu wenye mobile na huwa sio ghali kama zamani. kwa elfu 5 unaweza kuongea kwa dakika 5+ ..ni rahisi kuliko kumpigia mtu mwenye simu ya Tigo au Voda hapa!!

ok kwa nchi kama za ULAYA hata ukitumia NET TO PHONE ni rahisi sana kuzidi hata hiyo zain na zingine nataka kama nchi za ASIA kwa hii inakuwa nagharama kidigo unapata dakika chache