structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 910
Thanks mkuu ila.mbona.mwanzo kulikuwa na du battery saver, tube mate, photo editor nk na zilikuwa sawa tu mkuu?app zinakaa hapo ambapo available ni 26mb na used ni 0.96, inamaana una kama 1gb ya kueka apps hizo storage nyengine huwezi eka apps.
futa apps hakikisha hio 26mb inaongezeka kwa zadi ya mb100 ndio utapata nafasi ya kueka app nyengine.
Mkuu SD si mpaka uweke.memory card au? maana sijaweka memory card na ukienda kwenye setting hailet options za wapi pakuweka application. Nilikuwa na clean master nikafuta.kwasababu hizihizi za kutafuta space. Ngoja nijaribu kuondoa hiyo facebook na kuweka hiyo lite ulonishauri. Thanks mkuu1. Ingia setting, storage, preffered phone installation chagua SD Card apo apps zote utakazoinstall zitaenda kwenye mc
2. Ingia setting, applications, kama niwasap bonyeza utaona info, uninstall, disable, clear data, go to app we chagua move to SD CArd app itahamishwa kwenda kwenye mc, fanta ivo kila app inayochukua storage kubwa
3. Unintall io fb app nenda play store kadownload Facebook lite INA mb mbili tu
4. Usisahau kuintall clean master na du battery savor kama walivoshauri wengine apo juu
kila siku simu yako inajaa unapoitumia hata kama hujaeka apps mpya. kuna situation kama hiziThanks mkuu ila.mbona.mwanzo kulikuwa na du battery saver, tube mate, photo editor nk na zilikuwa sawa tu mkuu?
kila siku simu yako inajaa unapoitumia hata kama hujaeka apps mpya. kuna situation kama hizi
1. unatumiwa picha, sauti na video za whatsapp vitu hivi vinakaa kwenye folder la whatsapp na vinahesabiwa kama ni whatsapp
2. kuna cache na data za games na app mbali mbali kama youtube, facebook nk
3. app uliieka ndogo imepata updates sasa hivi imekuwa kubwa
nk
cha muhimu nenda setting halafu storage angalia jinsi storage yako ilivyotumika kama kwenye hio internal memory yenye 0.96 kuna media kama video, picha na sauti vihamishie kwenye hio memory kubwa
pia hapo hapo usisahau kwenda miscelinious angalia data za app kama whatsapp hizo pia unaweza zihamishia kwenye hio memory nyengine
hizo za google huwezi zitoa, play service ndio app mama kila app ya google haifanyi kazi hadi iwepo, hazijajirudia.Mkuu ahsante.sana kwa msaada wako. Ila nisaidie kuna application kama zimejirudia au sizielewi. Mfano google app 53mb,google play service 100mb,google playstore 23mb sasa hapa niondoe ipi niache ipi maana nakumbuka kulikuwa na google.play.store ila.hizi.zingine.sihui.zimetoka.wapi.
Thanks mkuu ngoja nifanyie kazi ushauri wako halfu ntakupa feedbackhizo za google huwezi zitoa, play service ndio app mama kila app ya google haifanyi kazi hadi iwepo, hazijajirudia.