Habari,Wakuu natafuta kampani ya discussion kwa wadau wanaotaka kufanya pepa za CPA kwa level ya Intermediate stage waliopo iringa mjini.Maana nimejitaidi kutafuta review class kwa eneo ili bila mafanikio,kwa yeyote aliye intereted tuchekiane kwa PM wakuu.