aaahhahaaaahahaaaa uuuuwiiiiiii mbavu zangu mie ntatimuliwa hapa job kabla ya muda wa kazi kuisha kwa kucheka eeh! yaaaani wooote hapo kwa mr. bean ndo umenifikisha i like this guy coz napenda kucheka na nikimuona tu nacheka hadi basi, hata mtu akiniudhi natafuta picha za mr bean naangalia nacheka weeee hasira inaishia hapo, bean nouma! thanx Excellent