KEMPANJU BOY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 508
- 1,255
Niende moja kwa moja kwenye mada! Leo mchana kwenye pita pita zangu kuna kijiwe kimoja nimekuta mjadala kwa kiasi fulani nilivutiwa ikabidi nisogee kuongeza maarifa. Mjadala ulikuwa baina ya mtu mmoja aliyekuwa akihubiri injili lakini baadaye akaonekana anatangaza dhehebu lake na Wale wana kijiwe. Yule mtu aliulizwa maswali mpaka akakimbia, ningependa tushiriki angalau mwenye ufahamu kidogo tuelimishane. Maswali ni kama ifuatavyo:
i) Kati ya Ukristo na biblia ni kipi kimetangulia?( Aya maswali yanayofuata yalikuja baada ya jamaa kusema ukristo ulitangulia).
ii) Kama biblia iliandikwa Karine ya 3 kama baadhi ya historia zinavyoonesha Ukristo umeanzishwa kwa Misingi ipi? Mfano dini ya kiyahudi ilianzishwa kwa misingi ya tourati ya Musa.
iii) Kama Ukristo umeanzishwa kwa kufuata Injili ( mafundisho ya Yesu) inakuwaje kuna vyeo makanisani kama Ushemasi, Uaskofu na Uchungaji ambavyo kimsingi havipo kwenye injili bali vimetajwa na Nyaraka za Paulo na siyo wainjili?(Luka, Marko, Mathayo na Yohane).
iv) Je kuna aja ya Madhehebu ya Kikristo yaliyoanzishwa kabla ya kui compile biblia, mafundisho yao yote kuwa kwenye biblia? mfano: RC na othodox au ili linayahusu madhehebu yale yalochipukia baada ya mwaka 1500 BC?.
Karibu kwa Michango yenu wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app