intel Vs ARM processors

intel Vs ARM processors

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Naomba tujadili hili suala, kuna ushindani mkubwa umeibuka kati ya watengenezaji wakubwa wa processors ambapo intel ambaye kwa miaka mingi amekuwa ndiye kiongozi wa industry ameanza kabwa koo na ARM hasa baada ya kumnyanganya soko la simu maana kwa sasa ARM ameteka soko katika phone industry hasa apple.
Kuna pia rumours kwamba apple anafikiri kuihama intel hata kwenye comps zake ahamie ARM maana processors za ARM zinatumia low power kufanya kazi compared to intel na zimeonyesha kufanya vizuri kwenye simu.
Microsoft ku support ARM keshatoa windows 8 inayo run kwenye ARM processors kama mnakumbuka alipozindua tablet yake. Japokuwa software zinazo run intel haziwez run kwenye ARM mpaka ziwe re wrietten.
Je hii inamaanisha kuanguka kwa intel maana wengi wanadai processors zake ni expensive kwani processor 4 za ARM ni sawa na bei ya processor 1 ya intel.
Na je vipi performance kwa ambaye ametumia processor za ARM maana mimi naona intel ndiye legendary maana miaka yote amemfunika AMD
 
Mi naona mpaka sasa ARM anaongoza kwenye mobile devices kama tablets na smartphone. huko kwa pc mwuachie intel for now labda baadae.
 
Back
Top Bottom