Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,251
akili za watanzania niza ajabu hata ukiomba kupata information kuusu suala fulani watu hawataki
Hapa ni ofisi za Chadema?
akili za watanzania niza ajabu hata ukiomba kupata information kuusu suala fulani watu hawataki
Hapa ni ofisi za Chadema?
ningependa kufahamu demokrasia ndani ya cdm inavyotekelezwa
1.ni vp kama binafsi nitatangaza nia ya kugombea uenyekiti pindi mbowe atakapomaliza muda wake watu wataniponda na kuniona sifai je ni kosa kutangaza nia kikatiba?.
2 ni vp nitalindwa kama nitatangaza nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 ingawa 2015 haijafika ili watu wafahamu wanikosoe na nisome upepo kuhusu kukubalika kwangu kwa wananchi je hilo ni kosa kikatiba?
3 je kikatiba naweza kupewa amri na mtendaji wangu mkuu kwa kunipigia simu au kwa barua? Je kanuni za chama zinasemaje?
4 je kama nikimpinga kiongozi kwa suala ambalo binafsi naona ni kinyume kwa maslahi ya taifa mfano kujitoa katika suala la katiba mpya je kanuni za chama zinasemaje?
Freedom of speech and right to give opinion and right to get information is per constitution of republic of tanzania
kwani cdm kina mwenyekiti wa kudumu? soma historia ya chama ndipo u argue kama unavyoota ndoto yako poor you!