Instute of social work

Instute of social work

mankatesha

Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
7
Reaction score
3
Jaman kuna first year yoyote aliechaguliwa instute of social wok dar...kama yupo naomba tupeane Mawazo utaratibu wa hapo..
 
Social workers hivi huwa wanaajiriwa mahali gani after completion of their studies?
 
Nadhani wanaajiriwa kwenye ustawi wa jamii but hiki chuo kinatoa HRM na industrial relations pia
 
Jman ivi kama umechaguliwa mwaka huu ukaamua kusitisha mwaka unafanyaje maana Mkopo hakuna
 
Back
Top Bottom