Instructions zinaogopesha

Katika kila chuo wanakuwepo lecturer dizaini hii.....wanaweza kukukera ila ukaishia kucheka badala ya kununa!
 
Bora tu u miss ai make sense una comments wanafta tu bila sababu na kudai wanatukanwa eti siku zile niliwatukana.
Mi upumbavu siuwezi jukwaa lenyewe siku hizi lina uswahili na umbulula mwingi. Zamani lilikua zuri.

very sad we will miss our king kiba halafu matola anatetea upuuzi ulee

Na ndio basi tena, you wont see me there again.

Aya sasa tusijaze uzi wa watu buree...
Mje mmalizie hasira huku. Hahahaaaa.
 
yah sasa kutakua kuna maana gani kule bora tuupotezee tu

Aisee kweli kabisa kule sisi tushaonekana hatuna haki...
Lakini hawawezi kumfuta kiba mioyoni mwetu
 
Ngoja kwanza nianze na hiyo picha! Umenikumbusha mtihani mmoja niliowahi kuufanya nikiwa first year, tulishangaa mbona pepa rahisi hivii kumbe instructions zinatutaka tusijibu swali lolote, na hiyo instruction ilikuwa swali la kumi ambalo ndilo lilikuwa limeandikwa ni la lazima kufanya, daaaah tulifeli maana ukifuta haisaidii as ulishajibu maswali ya awali, yaani vyuoni ni full kukomoana.

Na hiyo ya kuchanganya maswali ni balaa tupu mnaigirizianaaaa kumbe maswali ni tofauti.
 

Hahahaaaa pole sanaaa....ata mimi nilishawahi kuingia mkenge acha tuuu
 
Mie hasira zishaisha mama, na maamuzi ndio yale nishachukua.

Acha wajimwage wenyew maana wana vinyongo na sisi sana....
Video ya chekecha cheketua imewatoa watu rohooo....
#chekecha cheketua...
 
Yaani mitihani mingine chuoni ni ya kukomoana kwakweli.

Lol nusu nikusahau na hiyo avatar nimezoea za kiume sasa ya huyo mrembo black beuty nilikuwa nishaisahau
 
hahahahahahahahahah huyu nahisi ni magufuli enzi za ualimu wake
 
Kipindi nasoma chuo kuna lecturer mmoja alikuwa ana boa anatoa m.choice sasa ile kusoma inaboa so inabidi upige chabo kwa jirani unayemwamin ata kidogo.
Mkitoka kwenye pepa duu kumbe mitihani ilikuwa mitano tofauti tulifelii jeee

Yupo mmoja hapa chuoni kwetu ndio tabia yake iyo
 
Lol nusu nikusahau na hiyo avatar nimezoea za kiume sasa ya huyo mrembo black beuty nilikuwa nishaisahau

Hahaaaaaa!! Nimemmiss na mimi nikaamua nimrudishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…