Installing xampp in w7 ultimate

Installing xampp in w7 ultimate

mkurugenz

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
241
Reaction score
21
Salam wanajamvi: kwa muda nimekuwa nikijaribu ku-install software ya xampp katika pc yangu lakini tatizo apache inafail ku-run , mara nyingine kunipa message kuwa port 80 inatumika so haiwezi ku-run na wakati mwingine kabla ya ku-install inanipa message ya tatizo la use control account (UCA). so naomba mwenye uzoefu wa ku-install xampp ktk w7 anijuze. wasalam
 
Hakikisha wewe ni admin kwenye PC kuondokana na tatizo la UAC. Kuhusu port kutumika angalia program nyingine yoyote inayotumia port 80 kwenye computer yako hii inaweza kuwa Skype, IIS au program nyingine yoyote au antivirus, kujua program gani inatumia port gani kwenye windows unaweza kufungua command prompt kama admin (Search cmd kwenye start menu, right click cmd.exe kisha chagua Run as Administrator) then type netstat -b -a -n hii italist address na port zilizo connected na program inayoitumia, unahcotafuta ni kitu kama
[dragon.exe]
TCP 192.168.43.7:80 38.127.167.7:443 ESTABLISHED

Hiyo 80 kwenye column ya pili ndo port inayotumiaka kwenye PC yako, na hiyo dragon.exe ndo program inayotumia hiyo port.

Kama command line inakuzingua unaweza kudownload program inatwa CurrPorts ambayo ina GUI freshi (How to get a list of all open ports on Windows 7, Vista and XP? « FAQforge) unataka local ports kusiwe na program inayotumai 80 (Ndo Apache inayotaka kutumia)
4lcbQVJ.jpg
 
Back
Top Bottom