Installing games and stuff on ipad2

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Wakuu habari zenu,

Naomba msaada wa ku-install games kwenye ipad2 yangu. Nijuzeni njia rahisi kutimiza zoezi hili.

Asanteni
 
Register app stores, inabidi uwe na credit card, baada ya kurejista fanya manunuzi
 
Back
Top Bottom