snipa
Ukianza kusoma nilichoandika nilianza na kusema "Wataalam" nikiwa na maana ya kuwa sina utaalamu wa hiyo kitu thats why nipo Hapa na nikauliza.
Asante kwa kunifungua Masikio
Ni Physical Server ya Nyumbani.
Mfano naitaji Windows Server 2012
Inakuwaje Hapo.
My question is the basis of this discussion
bila kujua Matumizi yako ya server personally sijui mtu ataanzia wapi kukushauri
Unataka server tena yenye Windows OS for what?
prestige au?
Na wala kwa maisha yetu ya Kitanzania haya Physical server itaku cost si kidogo or less wewe unaitaka kwa ajili ya kampuni
Server can be merely Any Computer with Internet connection provided watu outside that network wanaweza kufanya communication na hiyo server na labda ina run some applications
Hivo waweza kutafuta a Old Dell desktop computer uka install lets windows server 2012 OS au any Linux distro kisha ukaenda TTCL au Raha Broadband au Smile Telecom ukawaomba wakufungulie internet yao na ukawaomba Static IP adress tayari utakua na Physical server as simple as that
Lakini swali litakuja pale pale hiyo server ni kwa kujifunzia/educational purposes au unataka ku run some official services e.g hosting a website kama ni kwa ajili ya official service then this isn,t enough ukizingatia hao ISP nilokutaji watakukamua hela balaa pia swala la umeme wetu huu wa Tanesco utakupa challenge hivo utaitaji some power backups which makes the process cumbersome
Further more kama ni official services unataka ku run hauwezi kutumia computer cha mtoto
hivo generally utaitaji yafutavyo
1.Computer server nikiangalia ebay ina cost 500$ kupanda juu
2.Internet Connection 24/7 ambako standards walau iwe linked to 100Mbps source au 1Gbps port speed na kwa hizo standards hapo labda utumie Optic fibre connection ambayo mpaka uwe connected lazima uchomoe xxx$ za kutosha
3.Power 24/7 hapa waweza mix TANESCO na other power backups
with these basic needs you are Good to go
Kwa hiyo Cost you could better buy a arleady Hosted Dedicated server Online and pay for it Monthly as low as from 50$ with one time setup fee of 50$
Upo guaranteed kuwa na connection ya uhakika hivo ku provide a standard service kwa watu wako
You can review my windows server/RDP images here below
speed