HOW TO MAKE A BOTABLE FLASH DISC FOR WINDOW XP..,
habari wadau kwa jina naitwa danford pius hamisi naishi chinangali dodoma mimi ni fundi wa computer na ninaaminika kwa leo nataka uniwape somo moja sasa twende
HOW TO MAKE A BOTABLE FLASH DISC FOR WINDOW XP.
hii hali huwa inatokea pale computer inapokuwa inazingua na unataka uipige window chini lakini tatizo linakuwa ni mlango wa kupigia sasa twende nikueleze jinsi ya kupiga kwa kutumia flash
1.tafuta flash angalau ya 4gb 2.download au tafuta software moja hv inaitwa power iso baada ya hapo tafuta au azima computer ya jirani au rafiki yako.
3.weka hy software ya power iso alafu install kwenye computer baada ya hapo ingiza cd ya window xp kwenye computer hy nyingine halafu fungua power iso alafu kuna sehemu ya kuweka list ya vitu kama nyimbo wewe moja kwa moja nenda kafungue my computer kama nenda kwenye cd chukua moja kwa moja bila ya kuopen alafu itupie pale sehemu ya power iso kwenye list alafu ingiza flash na nenda> create botable usb kisha fata maelekez