paulchazzy
Member
- Nov 20, 2014
- 68
- 5
Katika Mitandao ya Kijamii iliyobeba umaarufu mkubwa Duniani, upo mtandao wa-Facebook-ilioanzishwa February 2004,-Twitter-ilioanzishwa-March 2006 hiyo ilikuwa miaka miwili mbele baada ya-Facebook lakini mtandao wa-Instagram-umechukua umaarufu mkubwa sana sasahivi kwa sababu watu wengi wanapendelea kushare picha na watu wao,
‘Insta' ilianzishwa mwaka 2010 na kuanza kupata umaarufu mdogomdogo.!!Ripoti mpya imetoka na imethibitishwa na wamiliki wa Instagram-wenyewe-kuwa hivi sasa inawatumiaji MILIONI 400-mpaka kufikia-September 22 2015, hiyo ni ndani ya miaka mitano tangu Mtandao huo umeanzishwa.
Kwa picha na maelezo zaidi