Instagram VS Uhalisia

Nime comment mid night sana baada ya kushtuka nilipokuwa na minywa, kweli aisee picha zipo tofauti hata shadow mkononi, picha ni edited sio magari tofauti..
Hiyo siyo 'kamera engo' huyo mbuzi yupo kwenye magari mawili tofauti.

Na inaonekana picha ya kwanza ni 'real' ila ya pili hiyo ni 'fake' a.k.a editing.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…