instagram,the new work place aiseeh..

instagram,the new work place aiseeh..

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Mko poa wadau?hopefully you are as i am too.sasa bwana am not here to judge people ila ni mtazamo nawasilisha apa.Yaani i have been thinking..ivi watu mnavoshinda kule instagram maana ndo the new work place in town sasa ivi,maana ni asubuhi,mchana,jion hadi usku wa manane mweeh!.sasa bora basi mngekua mnafanya kazi za maana basi kama kuna wale madalali wa bidhaa,nyumba na vitu mbali mbali wenye pages zao kule wanafanya vitu vya maana ambavyo ata in a day wanapata chochote kitu but mtu kutwa ni kutengeneza pages mara team thz team that uko instagram,mara diva kapost iphone ya mtandaoni anasema yake watu wanamvamia wakisema aache kua faker,ivi ina ulazima avamiwe?si ni maisha aliochagua? mara Wema,mara Diamond,saivi sasa Alikiba na Diamond ndo the new trend.Watu ni wanatoana roho hatari uko kisa watu hawa uku wenyew hawana ata mda na nyie tena ndo kwanza mda huo wapo wanapiga kazi kweli kweli.Au kuna siku washawahi kusema leo tunawafuturisha bure team wema wote au team Diamond wote?au labda tunagawa hela kwa team zetu za instagram?au labda izi team mnalipwa?tuambizane jamani sababu watu mnatoana roho na matusi ya nguoni kutwa kucha.sasa kuna umuhimu gani wa kukaa pale masaa 24?ukisubiria mtu apost kitu umvamie?ivi tungekua tuna put the same effort kwenye kufanya kazi ,kuhustle si tungekua mbali sana.yaani waga nashangaa mno .ivi ina ulazima kwel?kuwatupia watu matusi ya nguoni tena kwenye mitandao ya kijamii.unajua it shows some lack of confidence kwa hawa watu koz wana zile guts za kumvamia mtu mtandaoni but angekutana nae face to face atanywea vbaya mno.wasanii hao ambao kutwa mnawatengenezea mabifu na kutwa mnatengeneza pages za kutupiana matusi ya nguoni mda uo mnafanya yote ayo am very sure wao wanaongeza idadi ya digits kwenye bank accounts zao.Its a waste of time kwa kweli and instead of doing that mda huo ungefungua ata page ukatangaza biashara yako au ata ukalima matikiti ukauza ukasogeza siku za kuishi.mbona shughuli ni nyingi wadau?social nwtworks zina manufaa makubwa tu na ata nchi za wenzetu wanazitumia vizuri sana kuongeza kipato cha nchi zao.kwan wao wana nini na sisi tuna nn?tunaweza pia kutumia mitandao hii for our economic benefits tuondokane na financial slavery.Nawasilisha...
 
Mada yako ni nzuri ila inaonekana wewe ni inshomile mpaka ng'ambo no company can employe me!!! kwa sababu unaandika maelezo marefu kwa kuchanganya changanya lugha. andika kiingeleza tu au kiswahili tu ili ueleweke vizuri. siyo chunvi na sukari kibao!!!
 
lugha zote zinaeleweka na iyo ndo capacity ya uandishi ambao sio formal nway umegundua ata apa nimechanganya eeh
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom