Mkuu naomba tuingie pm tujadili kidogo!Habari ni njema Mkuu...!
Umesema unahitaji kuSet-Up Ad kwenye Instagram,
Kwanza, I-link akaunti yako ya Instagram kwenye akaunti yako ya facebook, hapo utakuwa unaweza sasa kutengeneza Ads zako kwenye Power Editor. Juu kulia (kwenye Head) bonyeza Settings,halafu nenda kwenye Instagram Ads halafu nenda mahali palipo andikwa add account, hapo sasa unaweza kuSign akaunti yako ya Instagram unayotumia au Ukatengeneza mpya kwa ajili ya biashara.
Ukishafanya hivyo hapo unaweza kuRun Advertisement moja kwenye akaunti Insta na FB.
Natumaini maelezo yatakusaidia,
Ukikwama mahali popote nipe feedback. Uwe na siku njemaView attachment 451637 View attachment 451638 View attachment 451639
mbna mnatak kujificha mkuu,pgeni stori hapa2 hapo hakuna cha pm...mana ndo ushaanzish mada na wengne wafahamu.Mkuu naomba tuingie pm tujadili kidogo!
We kweli mdudu! Inamaana hutaki na wengine wafaidike? Nini maana ya "jamii"forums?Mkuu naomba tuingie pm tujadili kidogo!
We kweli mdudu! Inamaana hutaki na wengine wafaidike? Nini maana ya "jamii"forums?Mkuu naomba tuingie pm tujadili kidogo!
Hukuwa na sababu ya kunitukana kama kweli ungekuwa unafahamu hiyo maana ya "forum". Walioweka pm nina uhakika wanakuzidi akili, lakini angalau kwa kuwa unatumia jukwaa hili ulipaswa tu ujue kwamba ni haki, wala sio kosa linalostahili kutukanwa kama mchangiaji ataomba kuingia pm na mchangiaji mwingine. Baki tu ukielewa haitawezekana wanadamu wote kuwaza sawa sawa hata kwa dakika moja! Baki pia ukielewa kuwa kuingia pm haisimamishi mjadala!We kweli mdudu! Inamaana hutaki na wengine wafaidike? Nini maana ya "jamii"forums?
Usiwe mbinafsi kama utumbo wa nguruwe
Mkuu Black page, kwanza sijaanzisha mada hii, pili, kuna mambo ambayo ni personal lakini yanahusiana na jambo hili niliona huyu jamaa angeweza kunifafanulia kidogo. Sio kwa nia mbaya lakini...samahani kama nimekukwaza mkuu!mbna mnatak kujificha mkuu,pgeni stori hapa2 hapo hakuna cha pm...mana ndo ushaanzish mada na wengne wafahamu.
nimeona mkuu,sorry ase ila next time mtu unapotaka kuwasliana nae pm.hamna haja ya kusema uonane nae pm...mtumie tu ujumbe pm,then atakujibu huko sio lazma useme kwa post kam hii.pamoja mkuuMkuu Black page, kwanza sijaanzisha mada hii, pili, kuna mambo ambayo ni personal lakini yanahusiana na jambo hili niliona huyu jamaa angeweza kunifafanulia kidogo. Sio kwa nia mbaya lakini...samahani kama nimekukwaza mkuu!
Je , nawezaje kufanya malipo? Nitumie tu master card yangu kulipia au nifanyeje? Au nawezaje kujiunga na paypal?Anzia facebook mkuu, then ndio utaweza kutangaza instagram kama pistmshai alivyoeleza kwa post #2 , japo kuwa makini wakati wa kutengeneza account, malipo na tangazo lenyewe, kwasababu ukikosea kidogo tuu watakufungia account yako.
Waweza tumia card yako kama njia ya malipo, na ndio, lazima card yako iwe activated for online banking na bank husika.Je , nawezaje kufanya malipo? Nitumie tu master card yangu kulipia au nifanyeje? Au nawezaje kujiunga na paypal?
Na je? Nikitaka kufanya miamala ni lazima nipate kibali kugokea bank??