Yeah wanajipromote...but sijui jamaa hasa wa ulaya wanatumia njia gan..
kwa sababu unaeza kuta jamaa anafollowers 2m idadi ambayo...hata msanii wa bongo hana..
Hamna hayo maneno tu...kulikua na marekesho..walizuia account zisizo active na account zenye fake followers...nasikia eti wenye ista wenyewe ndio huwa wanawapunguzia idadi ya followers wasanii wanaokaribia kufikia 1m, mfano siku moja mtandaoni niliona diamond akilalamika eti kapunguziwa follower huko insta(sijathibitisha maana simfollow diamond), ila hilo nimelisikia sana
Msisahau kunifollow...
Mm baada ya kuona sio mpenz wa kuweka picha mitandaoni nilifuata step za ku remove account yangu ya insta. Nikaachana nayoSio wewe tu. Me pia ni mmoja ambae huwa najuta kwa nini lijiunga na ista. Sio type yangu kwa kweli.
Insta sijui fb wala sina mpango wa kuwa na acount huko, JF INATOSHA SANA!
Je, na ile ya youtube kuweka video halafu ukiwa na watazamaji wengi we ndo unakuwa unanufaikaje ??????????? ( mutanisamehe kama nipo nje ya mada )