Miss Ritah
Senior Member
- Dec 28, 2014
- 191
- 121
idriss hana tofauti na sisiHuyu jamaa sifa sana simkubali ata
idriss hana tofauti na sisi
Numbisa huyu mama dangote ni real account ya mama diamond????
Na wewe wa Mkoa kutumia neno "kuchamba" huoni kama unakua mchele mchele????E
mwanaume wa dar anamchamba mwanamke!!Noma sana
Uyo demu madem hamumpendo ila.kiukweli ni mzuri afu kawazidi kila kitu yaniii mna haki ya kua haters
Haha mkuu umekuja juuNyie maboya kweli toka lini mbasha akawa wa dar? Huyo kwao si shinyanga huko kaja mjini juzi tu kwa mgongo wa frola?
Awapi uyo bado ana ushamba wa mkoa. Minimum 3 yrs atakua kashajua mitaa na accent imechangeMwanaume akiishi dar zaidi ya miezi sita sio wa mkoani tena huyo ni wa dar
Kwani uyo.jamaa ana akili timamu?
Nahisi sio mwenye hii ac lzm itakuwa kuna mshenzi anaitumia,mwanaume mwenye akili timamu hawezi kupost huu upuuzi
FuramaNa wewe wa Mkoa kutumia neno "kuchamba" huoni kama unakua mchele mchele????