atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,815
Haahhahaa uchebe bana rais wa mario daah yaan hajielewi. Ukiweza fungua mkuu nikizipata ntazitupia huko vituko vya uchebe
Weee nakataaaHata mwanaume wa mkoani akiishi dar lazima tabia zake ziendane na wanaume wa Dar
Naona Mrs mziwanda kashukuru