Instagram kuna bugs gani.?

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
Naona huyu hacker anasumbua account za mastar wa bongo sana..jana Huddah nayeye kafanyiwa yake.
 
Pengine wameekewa viapp vya kuspy tu. Ukiwa star unatakiwa uikimbie android kabisa
 
Ningefurah wangehack page zote za mastar wanasapport sisiemu
 
Pengine wameekewa viapp vya kuspy tu. Ukiwa star unatakiwa uikimbie android kabisa


mastaa wetu mkuu si ndo wengi wanatumia iPhone na ndo wanohakiwa kwa sana
 
mastaa wetu mkuu si ndo wengi wanatumia iPhone na ndo wanohakiwa kwa sana
Kama ni bug ya insta angehack watu maarufu zaidi kama wasanii wa usa angepata umaarufu zaidi, why anahack wabongo hapa hapa tena alio nao karibu?
 
Kama ni bug ya insta angehack watu maarufu zaidi kama wasanii wa usa angepata umaarufu zaidi, why anahack wabongo hapa hapa tena alio nao karibu?

kweli naona..why asingehack wakina Justin huko.
 
Sio mastaa wote wanatumia iphone. Ni wachache sana.

kwel mkuu ila wale wenye majina wengiwao naona wana iPhone 6 sasa sijui kama wanauziaga sura tu au ndo wanazotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…