Hawezi kuchukua. Yeye hashauriki. Na hafanyi mnavyotak nyinyi.Sasa mkuu hapo ndo umemaliza?
Si ungetumegea japo kidogo hicho alichokifanya kwani hujui kama rais wetu huwa anapita humu naye angechua marifa kidogo
Wewee huwa hatupangiwi Ndo wanavyosemagaHii ni documentary ya siku 100 za kwanza alizoingia White House. Obama alikuta nchi iko kwenye mdidimio wa uchumi.
Ukiangalia hatua alizochukua na tubavyofanya sisi hapa kwa kweli hata miaka 1000 hatutoki hapa, ukipata muda angalia BBCBrit Dstv 120.
Natamani ningeweza kuwapa watu fulani hii documentary waangalie.
tutashukuruKesho nitauboresha.
Kesho nitaiweka hio documentary
Ha ha ha Obama alisema 'Presidency is very powerful but it takes time to do things in Washington(WH) I cant just press a button and expect bankers or senate to do something'Hawezi kuchukua. Yeye hashauriki. Na hafanyi mnavyotak nyinyi.
Kesho nitaweka hio documentary na summary kidogo.
Kuna mengi ya kujifunza