Insha by a Luo Primary School Child

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
MUIM WA MAJI [ Umuhimu wa maji]


Samani, siku ule mimi alikuwa sule kama mitoto ndogo, maalim nalikuwa
namambia sisi ni maji ni msuri saidi moloyo kwa kurudo mswak, kuoga.
kumupa dhian'g, diel na hata kondoro kunywa.

Sasa siku moja kama sisi iko pared, maalim olikuja kufanya peksen kwa
mitoto yote. olipokuwa anapeksen, mitoto moja olipatkana na ochafuuuu!
ya singo, marateng? ti! Omera! mitoto alikula boka, rua! rua! rua!. Na
saa huo huo, misichana ilikubwa ya klas ya juu, mara moja omesatumwa
gi ndo kukelo pi ya kuosa hii mitoto chaf pared ka! Ai yawa!

Hee! mi na mambia wewe, alioswa na ao ao msichande wakubwa hapo kwa
parade duk sikita ,thiringny watu yote akiona.

Mimi aliona ayub sana kwa yeye. Chakore chieng'no, mimi olikata
suruale ni fadhal mimi ooge kwa riba dala kusinda kuoswa na msichana
sikul, mbele ya pared.

Ni siku mimi otasaau ya kuwa maji en muim!
 
Back
Top Bottom