Insecurity threat in Tanzania

Insecurity threat in Tanzania

In short, huyu atakuwa anaishi nje ya Tanzania ama yupo hapa Bongo lakini yuko out of touch na reality. Ni kweli ayasemayo to an extent makes sense ila hapa Tanzania it's obsolete. There's nothing that works right here, hata kama viongozi wanajuwa tatizo liko wapi they (majority) will never do anything to prevent or fix it. Ukiongea suala la demokrasia utasikia tunayo eti kwa sababu siku hizi watu wanaweza kutukana rais mtandaoni ama kuongea mbovu bila kuchukuliwa hatua. Seriously? Priority ya serikali yetu haswa hii ya Kikwete ni kuendekeza ujinga na kulindana. Wananchi hawalindwi, mapolisi wezi na wako corrupted, vijana wengi ni drug dealers wakishirikiana na viongozi, na ujinga kibao hapa TZ umejazana ila serikali haichukui hatua yeyote. Utasikia tu, nyie mlioiba hela za epa zirudisheni kabla hatujawachukulia hatua. Au nyie mnaouza madawa ya kulevya acheni kwani tutawachukulia hatua. Mbona mpaka leo hatujasikia mtu kuchukuliwa hatua? Nchi inayoendeshwa kidemokrasia inafanya vitu hadharani na si kulindana kama hapa. We have a long way to go.
Naishi Tanzania ndugu yangu, na hayo niyasemayo nimeyapima na nikaona yanawezekana. Ni kwamba tu serikali imekumbwa na ukoma uitwao "SISI NI NCHI MASKINI, HATUNA FEDHA ZA KUTOSHA". Ukweli ni kwamba, hata hizo nchi zilizoendelea, hazikuanza kwa kuweka security cameras nchi nzima, zilianzia somewhere, pengine katika mji mmoja, kisha kusambaa nchi nzima. It is possible, it's just the matter of prioritizing
 
Mie nadhani mara nyingi tunakuwa tunataka suluhisho za matatizo yetu kwa kupambana na matokeo ya mambo fulani...tunaacha vyanzo vyake...nadhani hili si busara. Kwa mawazo yangu chanzo cha yote haya ni kuporomoka kwa misingi yetu tuliyojiwekea.....''binadamu wote ni sawa''.....tukaiacha hiyo na hivyo sasa hivi utu wa mtu ukawa unatambulika kwa mali au madaraka aliyonayo....Kila mmoja wetu sasa hivi anatafuta vitu hivyo kwa njia yoyote na walionavyo hivyo wanavilinda kwa njia yoyote ile visiwaponyoke. Kuna pengo kubwa sana kati ya hizi jamii. Mgao usio wa haki wa keki ya taifa,,, Vipato vikubwa na ufisadi kwa wanasiasa na wafanyakazi wa umma, ukwepaji wa kodi na biashara haramu wa wafanyabiashara wakubwa, nk nk ndiyo vinaifanya jamii ya chini iendelee kubaki na umaskini mkubwa.......hivyo kukosa cha kufanya ili kuweza kujikimu kimaisha na kuishia kuwaza kufanya uhalifu ili angalau aweze kuongeza siku za kuishi. Kama leo hii akitokea Tajiri Kichaa akatangaza kuwa ananunua masikio ya binadamu kwa shilingi 5,000/= itakuwa hatari sana kwani itatubidi tuvae 'helmet' barabarani....
Kitu cha msingi hapa ni kujaribu kuirudisha jamii yetu kule tulipotoka....'binadamu wote ni sawa'...tuheshimu utu wa mtu...tupunguze tamaa na choyo.. bila hivyo tutaweka kamera, taa za barabarani na mapolisi wenye ujuzi kila sehemu lakini mwisho wake usalama hautakuwepo zaidi kuongezeka wafungwa magerezani........hii ni kwa sababu sehemu yetu kubwa ya wengi wetu tunafikiria kufanya uhalifu....angalau utu wetu utambulike.....kwa mali au madaraka.....aidha tunaitafuta au tunailinda isiporwe........hatujapata nafasi.....
Ndugu yangu nautambua mchango wako wenye kina na busara nyingi, tena uliojengwa katika misingi ya taifa hili. Lakini nikutahadhalishe jambo moja la msingi, katika wengi hawakosekani walio kinyume na wengineo. Swala la uzalendo na maadili ni la muhimu, lakini watu sio wazalendo na wenye maadili tena. Watu wanatamani waibe, wachinje, waue, na kukata watu maskio kama ulivyosema. Na ndio maana swala la kutengeneza mifumo ili mzalendo na asiye mzalendo wate watekeleze uzalendo ama kwa hiari ama kwa shuruti ni la muhimu. Kama watanzania wote ni wazalendo tangu awali, tusingekuwa na haja ya kuwa na jeshi la polisi, magereza, TAKUKURU n.k. Hivyo kujenga miundombinu, hasa ya kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao ni muhimu sana, haliepukiki katika karne hii tuliyonayo. La sivyo tutaendelea kusikia habari za watu kukata wenzao vichwa na kutembea navyo barabarani, watu kupigana risasi mchana kweupe na polisi kufanya uchunguzi wa kesi moja mwezi mzima. Kwa karne hii huko ni kujitukana wenyewe, katika jumuiya ya kimataifa tunaonekana kama wote ni wapumbavu tulioshindwa kujiendesha
 
Political historyMain article: Sierra Leone

In the years following the death of Sierra Leone's first prime minister Sir Milton Margai in 1964, politics in the country was increasingly characterized by corruption, mismanagement, and electoral violence that led to a weak civil society, the collapse of the education system, and, by 1991, an entire generation of dissatisfied youth, Albert Margai, unlike his half-brother Milton, did not see the state as a steward of the public, but instead as a tool for personal gain and self-aggrandizement and even used the military to suppress multi-party elections that threatened to end his rule.[SUP][11][/SUP]
When Siaka Stevens entered into politics in 1968 Sierra Leone was a constitutional democracy. When he stepped down, seventeen years later, Sierra Leone was a one-party state.[SUP][12][/SUP] Stevens' rule, sometimes called "the 17 year plague of locusts,"[SUP][13][/SUP] saw the destruction and perversion of every state institution. Parliament was undermined, judges were bribed, and the treasury was bankrupted to finance pet projects that supported insiders.[SUP][14][/SUP]

When Stevens failed to co-opt his opponents, he often resorted to state sanctioned executions or exile.

In 1985, Stevens stepped down, and handed the nation's preeminent position to Major General Joseph Momoh, a notoriously inept leader who maintained the status quo.[SUP][14][/SUP] During his seven-year tenure, Momoh welcomed the spread of unchecked corruption and complete economic collapse. With the state unable to pay its civil servants, those desperate enough ransacked and looted government offices and property. Even in Freetown, important commodities like gasoline were scarce. But the government hit rock bottom when it could no longer pay schoolteachers and the education system collapsed. Since only wealthy families could afford to pay private tutors, the bulk of Sierra Leone's youth during the late 1980s roamed the streets aimlessly.[SUP][16][/SUP] As infrastructure and public ethics deteriorated in tandem, much of Sierra Leone's professional class fled the country. By 1991, Sierra Leone was ranked as one of the poorest countries in the world, even though it benefited from ample natural resources including diamonds, gold, bauxite, rutile, iron ore, fish, coffee, and cocoa. this is insecurity

Source: Wikipedia_its free on the net. I wonder if the so called leaders of TZ do ever read such important signs of warning caused by selfishness. But they are evil inside-out thts why this wont even shake them. sasa wewe na jirani yako hapo, vipi!!!? mnataka twende huko!!!?
That is brilliant, I love the quote real
 
hili kiingereza chako hata mtoto wangu wa mwisho ambaye yuko nursery school haandiki hivi. kwanini usiandike kiswahili tu hata akina maimuna wakaelewa. hiki kingereza chako hakuna anayeelewa. sio maimuna au anaejua kiingereza kwa sababu hakieleweki.
Sawa mkuu, I will try it next time ili maimuna na wengineo wanielewe
 
Naishi Tanzania ndugu yangu, na hayo niyasemayo nimeyapima na nikaona yanawezekana. Ni kwamba tu serikali imekumbwa na ukoma uitwao "SISI NI NCHI MASKINI, HATUNA FEDHA ZA KUTOSHA". Ukweli ni kwamba, hata hizo nchi zilizoendelea, hazikuanza kwa kuweka security cameras nchi nzima, zilianzia somewhere, pengine katika mji mmoja, kisha kusambaa nchi nzima. It is possible, it's just the matter of prioritizing


Sawa nimekupata vema na karibu katika nchi ya visingizio vya kijinga. Anytime unapoona kiongozi anasema haya maneno "SISI NI NCHI MASKINI, HATUNA FEDHA ZA KUTOSHA" huyo kiongozi basi juwa ni mpuuzi na hana akili ya kutosha kwani anatafuta visingizio vya kijinga. Tanzania si nchi masikini ila sera ya nchi yetu kwa makusudi tu inatufanya tufike hapa tulipo. Hapa Tanzania tuna kila kitu lakini kwa makusudi ya viongozi wetu utasikia hayo maneno niliyo quote toka kwako wakiyasema. Wakati wa ukombozi Tanzania umefika na lazima tujitahidi ili nchi yetu iwe a super power hapa Afrika. Solution hapa ni kuua CCM na viongozi wote walioko CCM wakataliwe kujiunga na vyama vingine vya siasa kwani hawa ni kansa ya koo. With them we will be like Liverpool FC, walking alone kila mwaka bila mafanikio yeyote huku tukijisifia kwa kujipa misifa ya kijinga kuwa zamani tulikuwa hivi wakati wenzetu wanazidi kukata mbuga.
 
Unaishi wapi? Certainly not in Tanzania. Hiyo reasoning imekaa kama copy paste solution. Security camera utafunga wapi wakati hata umeme hakuna?
If the pristine purpose of governing was to protect, it has evolved to development now (as you rightly point out). Na development yenyewe tunayo izungumzia kwa hapa ni food, shelter, security na opportunity. All kwa pamoja.

Hili ndio tatizo letu hapa JF. Bado hatujui priorities zetu ni zipi, bado hatujui cha kuanza ni kipi cha kufuata ni kipi, na vipi tutaanza na vipi tutaendelea. Idea ya camera za usalama si mara ya kwanza kutajawa na kuna wakati ziliwekwa katika baadhi ya sehemu, uliza sasa zikoje unaweza kusikitika.

Tukiangalia suala la usalama lenyewe utaona kuwa victims wa matukio yanayohusiana na mambo ya usalama si watu wakubwa, ni watu wadogo. Ndio maana kama mtu wa kawaida akivamiwa, kupigwa na kuuawa hakuna atakayejali, zaidi ya ndugu wa mhanga.

Akivamiwa kigogo au mgeni mzungu, basi utaona polisi wanafanya kila wawezalo kumkatama mwizi na hata kumuua. As long as suala la usalama litaendelea kutusumbua sisi kina yakhe, na sio wakubwa, hakuna lolote la maana lunaloweza kufanyika.

It is so naive to theink that those who comes in power in Tanzania do have interested in your security, development, and betterment, to the contrary the most they think of is their own securiti, development na kujitajirisha na kuwa na madaraka makubwa. And if you look into details you will see that, wanafanikiwa sana.
 
Naishi Tanzania ndugu yangu, na hayo niyasemayo nimeyapima na nikaona yanawezekana. Ni kwamba tu serikali imekumbwa na ukoma uitwao "SISI NI NCHI MASKINI, HATUNA FEDHA ZA KUTOSHA". Ukweli ni kwamba, hata hizo nchi zilizoendelea, hazikuanza kwa kuweka security cameras nchi nzima, zilianzia somewhere, pengine katika mji mmoja, kisha kusambaa nchi nzima. It is possible, it's just the matter of prioritizing


The thing is what you are talking about is not the priority, and above that we have a big problem in prioritizing, definately it is not the question of money or poverty. You should also remember that human brain (no matter how stupi that human is) works way better than the camera. So cameras can not guarantee your security. Sahau ndugu, mbona kuna matukio mengi tu ya uhalifu yanafanyika machoni mwako lakini wahalifu hawakamatwi. EPA, Richmond, au Ditopile aliyeua mtu kwa risasi hadharani....kipi cha zaidi unataka kiwe ushahidi. Camerasdo not shoot. Labda ungesema kuwa na sentry gun systems.
 
hizo mali zenyewe tuzitoe wapi sisi walala hoi? tunalalia mikeka na kushindia ukali wa kisamvu/mlenda. nyama na wali ni mpaka siku ya sikukuu. mali mnazo nyie tu ambao wengi wenu mmetuibia.

hapa ulikuwa una maana gani kiongozi?
 
hizo mali zenyewe tuzitoe wapi sisi walala hoi? tunalalia mikeka na kushindia ukali wa kisamvu/mlenda. nyama na wali ni mpaka siku ya sikukuu. mali mnazo nyie tu ambao wengi wenu mmetuibia.

hili kiingereza chako hata mtoto wangu wa mwisho ambaye yuko nursery school haandiki hivi. kwanini usiandike kiswahili tu hata akina maimuna wakaelewa. hiki kingereza chako hakuna anayeelewa. sio maimuna au anaejua kiingereza kwa sababu hakieleweki.


wakati unanijibu mimi ulijionesha wewe ni mtu wa chini sana ulipo mjibu huyo jamaa hapo umeonesha wewe ni mtu wa hali ya kati au juu maana kama kingereza cha jamaa ni kibovu kuliko mwanao wa chekechea basi kwa hakika umempeleka shule za wenye pesa ambao kingereza ndio lugha ya kuwasiliana ama unaishi nje ya nchi. kama ya kwanza sahihi ulikuwa unawasanifu walalahoi? na kama ya pili ni sahihi basi hili tatizo la usalama wa raia na mali zao halikugusi maana hujui hali halisi.

hata yule mwenye godoro la kuweka chini na ndoo za maji tatu na jiko la mchina au hata la mkaa akipata tatizo lolote kuanza teba kufika hapo ni mtihani mkubwa. kama upo tanzania unaelewa ninachoeleza.
 
Hili ndio tatizo letu hapa JF. Bado hatujui priorities zetu ni zipi, bado hatujui cha kuanza ni kipi cha kufuata ni kipi, na vipi tutaanza na vipi tutaendelea. Idea ya camera za usalama si mara ya kwanza kutajawa na kuna wakati ziliwekwa katika baadhi ya sehemu, uliza sasa zikoje unaweza kusikitika.

Tukiangalia suala la usalama lenyewe utaona kuwa victims wa matukio yanayohusiana na mambo ya usalama si watu wakubwa, ni watu wadogo. Ndio maana kama mtu wa kawaida akivamiwa, kupigwa na kuuawa hakuna atakayejali, zaidi ya ndugu wa mhanga.

Akivamiwa kigogo au mgeni mzungu, basi utaona polisi wanafanya kila wawezalo kumkatama mwizi na hata kumuua. As long as suala la usalama litaendelea kutusumbua sisi kina yakhe, na sio wakubwa, hakuna lolote la maana lunaloweza kufanyika.

It is so naive to theink that those who comes in power in Tanzania do have interested in your security, development, and betterment, to the contrary the most they think of is their own securiti, development na kujitajirisha na kuwa na madaraka makubwa. And if you look into details you will see that, wanafanikiwa sana.
Ndugu yangu naona umenielewa vya kutosha. Ni muhimu kubadili mtazamo, badala ya ku'quote' hekaya za wahenga tu na kuishia katika matatizo yaleyale. Maendeleo ni jambo la muhimu, lakini maendeleo bila usalama ni kutengeneza bomu la machozi. Hivi unafkiri gharama za kujenga kuta na mageti ya nyumba zetu hata katikati ya miji chanzo chake ni nini? Unajua ukishaweka mfumo mzuri wa usalama, ikiwemo katika ukusanyaji wa mapato, maendeleo yatakuwa na tija. Leo mtu akisimamia haki mfano pale bandarini, usalama wake uko matatani kuliko mla rushwa. Mtu anayesimamia haki katika ofisi za mipango miji kwa mfano, usalama wake uko hatarini vibaya mno. Kuna watu wanalazimika kuwa wala rushwa hata kama hawapendi, kwa sababu mazingira ya kazi hayana usalama kwa watenda haki. Halafu eti tunafikiri tutaendelea...
 
wakati unanijibu mimi ulijionesha wewe ni mtu wa chini sana ulipo mjibu huyo jamaa hapo umeonesha wewe ni mtu wa hali ya kati au juu maana kama kingereza cha jamaa ni kibovu kuliko mwanao wa chekechea basi kwa hakika umempeleka shule za wenye pesa ambao kingereza ndio lugha ya kuwasiliana ama unaishi nje ya nchi. kama ya kwanza sahihi ulikuwa unawasanifu walalahoi? na kama ya pili ni sahihi basi hili tatizo la usalama wa raia na mali zao halikugusi maana hujui hali halisi.

hata yule mwenye godoro la kuweka chini na ndoo za maji tatu na jiko la mchina au hata la mkaa akipata tatizo lolote kuanza teba kufika hapo ni mtihani mkubwa. kama upo tanzania unaelewa ninachoeleza.
Ahsante ndugu yangu kwa kunisaidia. Nayaheshimu mawazo ya mtu na pengine kweli likiingereza langu limepinda. Ila sasa tunapotoa mchango katika hizi mada, hasa hapa JF ambapo watu hutoa mawazo yao na kujadili mambo ya msingi (Ukiachia kule kwenye page ya Jokes), ni muhimu kutafakari na kuuzungumzia uhalisia badala ya kukashifu tu. Mawazo tunayopeana hapa ni ya msingi, yanawasaidia wengi sana. Wakati mwingine hatujui tu ni watu wangapi wanatembelea hizi page, but trust me, many are visiting and many are enlightened.
 
hizo mali zenyewe tuzitoe wapi sisi walala hoi? tunalalia mikeka na kushindia ukali wa kisamvu/mlenda. nyama na wali ni mpaka siku ya sikukuu. mali mnazo nyie tu ambao wengi wenu mmetuibia.

Ahsante ndugu yangu kwa kunisaidia. Nayaheshimu mawazo ya mtu na pengine kweli likiingereza langu limepinda. Ila sasa tunapotoa mchango katika hizi mada, hasa hapa JF ambapo watu hutoa mawazo yao na kujadili mambo ya msingi (Ukiachia kule kwenye page ya Jokes), ni muhimu kutafakari na kuuzungumzia uhalisia badala ya kukashifu tu. Mawazo tunayopeana hapa ni ya msingi, yanawasaidia wengi sana. Wakati mwingine hatujui tu ni watu wangapi wanatembelea hizi page, but trust me, many are visiting and many are enlightened.

usijali mkuu, kama yeye ni mzuri wa lugha alitakiwa kukuelimisha kila alioona pana kosa either la kigrammar au semantikia, kama hajafanya hivyo ni walewale tu.
busara ni kusema bwana japo umetumia lugha hii ya kuja na meli pale katika red ulitakiwa kusema hivi ili ujirekebisha au na wengine wajifunze.
jamaa amejawa na madoido na mbwembwe tu hoja za msingi hajazijenga.
 
Naishi hapa hapa Bongo ndugu yangu. Kutokuwepo kwa umeme na bajeti finyu vimekuwa visingizio vya serikali nyingi za africa kutokutekeleza hayo. Lakini jambo la msingi ni kwamba, hata mijini hamna umeme? Sidhani kama hilo ni swala la kuanzisha nchi nzima, tuanze na kule kwenye umeme na miundombinu, taratibu tutapanuka mpaka baadaye kufika huko unakosema hamna umeme. Jambo hilo ndio linalopelekea vituo vya polisi havitaki kutumia mifumo ya kompyuta eti havina umeme, wakati vingi viko mijini! Ofisi za kata hazitaki kutumia mifumo, eti hazina maeneo mengi ya nchi hayana umeme! Tuanze na kule kwenye umeme, hilo litatupa changamoto ya kupeleka umeme maeneo mengine ili kupanua wigo wa usalama wa wananchi wetu. Hata hayo mataifa makubwa hayakuanza kwa kuweka traffic cameras nchi nzima, walianzia mjini!!! ndipo wakapanuka na kwingineko
Kumbe upo hapa hapa? basi utakua unafaham vizuri tatizo la uwajibikaji linalo tukabili. hizi ideas zako ni nzuri ila bila uwajibikaji wqa watakao simamia mitambo hizo unaweza kushangaa zinatumika kuongeza insecurity. Hayo ya umeme nako tunaweza kuanzisha na vikashindikana. Hama mujini tuna siku kama ngapi maji hamna umeme hamna, and it is less than 50km from Ikulu.
Ninapo zungumzia suala la uwajibikaji ni both ways. uwajibikaji wa watawala uwajibikaji wa raia. kila mtu anavuta shuka kwake na kumwacha mwenzie kweupe. Bora hata wewe umetumia mudawako ku-share what you think the problem is and where the solution will come from. Raia wengi wanabrag kua HAWAPENDI SIASA. hawataki kujua what is the problem and whaat is the solution. I think uwajibikaji comes before anything.
 
Even me I need development / s.

Nuff said.
 
Hivi nikivaa kipolisi na kukukamata bila sababu na kuanza kukushurutisha unipe pesa utafanyaje?kama hujui sheria na mwoga utanipa,kama unazijua sheria na si mwoga patachimbika,sivyo?nawaambieni watz hamna serikali wala wanasiasa!kuna majambazi wamevaa koti la serikali na wanadhulumu mpaka haki ya mwisho ya kila mtu!insecurity ni favourable environment kwao kufanikisha robbery yao.sasa mjiulize ni hatua gani tunazichukua,tunakubali dhuluma au tunapambana?kwa maoni yangu naona tumekubali dhuluma ndio maana bado tunalalamika humu tukiwataka majambazi watulinde!na hakuna wa kututetea mpaka siku tutakapofanya jambo litakalomjulisha kila mtu kuwa watz ni very hostile!siku hiyo mtashangaa serikali inayojali raia wake inapatikana na pia security inapatikana.we only have ourselves to blame maana hawa wavunja haki wanazaliwa na kulelewa humu humu Africa,humu humu Tanzania,so there must be something our society is missing today!a corrupt government is an outcome of a corrupt society,a corrupt society is number one enemy of individual rights,and where there is no rights,there is no responsibility,where there is no responsibility there is no security,no security no peace,no peace there is war,then hostile society emerge,then the circle starts to roll vice versa......untill then,just be patient!
 
Mi sina tatizo na kibaka nitapambana nae tu coz nammudu tatizo langu ni hawa corporate robbers na big robbers hawa viongozi wetu hawa ndo majambazi makuu nchi hii hawa wanaweza kunipora hata nyumba yangu ya urithi na nkaenda mahakamani wakanipora na ushindi na nikaambiwa niwalipe fidia
 
Back
Top Bottom