Insanity of Dar floods

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
306
500
Doing the same thing over and over again and expect different results is what is happening now in Dar es Salaam.

Hii quagmire imekuwa ikijirudia miaka nenda miaka rudi na msimu wa ukiisha tu viongozi hurudi usingizini na kiamini kuwa suala hili limekwisha. Jitihada zinazofanyika sasa hivi za kuujenga mto Ng'ombe ni commendable but it has come way too late.

Mvua ya dakika kumi tu can put the city at standstill kutokana na non-existence ya water drainage system or flood control mechanism.

Wakati tunajenga flyovers mbalimbali ili kupunguza traffic jams, tusisahau kuwa jams zinazo sababishwa na mafuriko haya ni kali zaidi na kusababisha madhara makubwa kwa jamii.

Chonde chonde wahusika, tatizo hili ni long overdue na jitihada za pekee inabidi zifanywe kulimaliza.

Eyes on the ball, please.
 

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,811
2,000
Wakati tunajenga flyovers mbalimbali ili kupunguza traffic jams, tusisahau kuwa jams zinazo sababishwa na mafuriko haya ni kali zaidi na kusababisha madhara makubwa kwa jamii.

Nimekutana na jamaa akiwa na wageni wake wazungu wawili anawatembeza kwenye hizo flyovers anawaambia ziko mbili atawapeleka wakaone na nyingine sijui kama anatambua kwao ni nyingi sana
 

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
306
500
mkuu hata japan japo wameendela nao mafuriko yanawapiga kama kawaida
Japan wana hurricanes or typhoons. Sisi tuna torrential rains or just tropical storms. Lakini kwa jiji letu hata regular rain season ni balaa kubwa. Kimvua cha dakika kumi tu mji hautamaniki. Maboresho makubwa yanatakiwa yafanywe kwenye tertiary roads ili kuwe na way out wakati wa gridlocks na bila kusahau flood storm control itakayopeleka maji baharini kwa uharaka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom