Inovation aina hizi ndo tunataka Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inovation aina hizi ndo tunataka Afrika

Discussion in 'International Forum' started by Namtih58, Feb 5, 2009.

 1. N

  Namtih58 JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Fish emerge as new source of leather

  Fish skin can be processed into suede and other high end products.
  February 5, 2009: As the local leather and footwear sector experiences competition from second hand shoes and cheap low quality imports, Kenya has discovered new sources of leather that could ultimately bring down the cost of footwear and other leather derivatives.

  After a series of research on non traditional hides and skins, fish and chicken have emerged as the new alternative sources of leather in what could change Kenya’s manufacturing scene and fashion industry.

  The new leather sources could create multi-million shilling business for fish mongers and chicken farmers across Kenya.

  The government run Kenya Industrial Research and Development Institute (Kirdi) has started trial runs for the mass production of shoes, handbags, belts and wallets from fish and chicken leather.

  “Fish leather works well for gift items such as wallets and handbags. When we export the items to South Africa they don’t last a day on the shelves,” says Mr Joseph Kimatu, one of the cobblers working at Kirdi’s research centre in Nairobi’s South C. “Soon, fish leather shoes will be the in-thing in the fashion industry,” he adds.

  Fish hides can be processed into suede and other high end products which can be water and scratch proof.

  Now, Kirdi is touting fish and chicken leather as the next big thing that could rave up the development of Kenya’s manufacturing sector. The leather sub-sector has been on a downward trend following the liberalization of the local market in the 1993 to allow in second hand shoes.

  Soma hapa
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0

  Kwa miaka mingi nimekuwa nikiona kiwanda fulani cha Tanzania (sijuwi kina milikiwa na nani na jina limenitoka) kikijitokeza kwenye maonyesho ya saba-saba Dar. Kiwanda hicho huwa na bidha mbal mbali za ngozi za samaki, nyoka, mamba, kenge na kadhalika.

  Cha kushangaza sijaona waandishi wetu wa habari, hususan wa mambo ya biashara, wakikipigia debe kiwanda kama hicho, ambacho kusema kweli, vitu wanavyotengeneza vinavutia sana na bei yake ni nzuri sana ya kuridhisha, kwa mfano, nilinunuwa mkanda wa ngozi ya mamba kwa Tshs. 30,000/=, viatu vya ngozi ya kenge kwa Tshs.90,000/=.

  Vitu vilikuwa ni vizuri sana na vina rangi za asili.

  The point is: oneni wenzetu waandishi wa Kenya wanavyopiga debe kwa hayo.

  Nawaomba waandishi wa habari wanaopitia humu, wakitafute hiki kiwanda, kipo Mwanza, wakipigie debe, kwa mantiki ya kukuza soko la bidhaa zetu na kuwapa moyo wabunifu.

  Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Utalii, hebu nanyi watupieni macho hao wenzetu wa Mwanza. muone ni vipi mnaweza kushirikiana nao katika kuboresha biashara yao na kuitangaza Tanzania ki-utalii kwa bidhaa hizo.
   
 3. T

  The Truth JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2009
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Discovered? I don't think fish skin leather is a new discovery. Other people have been using fish skin as leather. Kenyans did not discover this and I am doubtful they will pull it off.
   
Loading...