Inogile Mkangafu

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
581086_290061814418796_1723755379_n.jpg
 
nyela ndauli, naomba nionje ludodo huo mtogwa! Dah kibwabwa hiyo mwanangu, lita sh 20 ndoo ya plastiki 200, hahaaa huku tukisindikizwa na mziki wa pepe kale 'komoni mpaka bujee sakai, sakai wi sakai, hapo nishahifadhi km lita tano tumboni ni kukata mauno tu hahahaa
 
Huo ni mdindifu!! unanikumbusha Vitindi vya Mzee Chozi pale Ifunda Tech.
 
Asante sana, nimegema sana huo mti, nimeumwa na nyuki ni kwa sana, unakamata na mahindi ya kuchoma, yaani unaweza kujing'ata utamu wake. Kwa nini hawajaanza kufikiria kusindika hii maneno jamani?? BRAVOOOO!!
 
Nenda Iringa, kuna mjasiliamali mmoja MNYALUKOLO anasindika siku hizi kwenye chupa kwahiyo ukifika bar unaagiza kama unavyoagiza CASTLE LAGER!!!
 
kavulanzi mwe!
nilipokuwa Tosa ukienda kuomba maji kijijini utasikia hatuna maji ya kuchemsha bee we msekondari labda tukupe kaulanzi!
 
Back
Top Bottom