Barnaba muislamu! Injili hii haijatiwa mikono kama zingine?Yesu akajibu: "Ni kwamba mtu ambaye hataiamini kweli kwa wokovu wake anapaswa kuamini uwongo kwa laana yake. Kwa hiyo nawaambia, kwamba ulimwengu umewahi kuwadharau manabii wa kweli na kuwapenda waongo, kama inavyoonekana katika siku za Mikaya na Yeremiakwa maana kila mtu kama wake hupenda mfano wake."
Kisha kuhani akasema: "Masiya ataitwaje, na ni ishara gani itaonyesha kuja kwake?" Yesu alijibu hivi: “Jina la Masihi ni la kustaajabisha, kwa maana Mungu mwenyewe alimpa jina hilo alipoiumba nafsi yake, na kuiweka katika fahari ya kimbinguMwenyezi Mungu akasema: "Ngoja Muhammad; kwa ajili yako nitaumba pepo, dunia, na viumbe vingi vingi, ambavyo katika hivyo nakufanya kuwa ni zawadi, ili kwamba yeyote atakayekubariki atabarikiwa, na yeyote anayekulaani amelaaniwa.nitakapokutuma ulimwenguni nitakutuma kama Mtume wangu wa wokovu, na neno lako litakuwa kweli, hata mbingu na ardhi zitashindwa, lakini imani yako haitashindwa kamwe." Muhammad ni jina lake lililobarikiwa." basi umati ukanyanyua sauti zao, ukisema: “Ewe Mola tutume Mtume wako: Ewe Muhammad, njoo upesi uokoe ulimwengu!”
Kama jina la yule muhuni mtukufu wa daraja lipo ndani ya hiyo injili likimtaja kuwa ni mtume wa kweli basi hiyo injili ni feki au imechakachuliwa 😁😁😁😁Yesu akajibu: "Ni kwamba mtu ambaye hataiamini kweli kwa wokovu wake anapaswa kuamini uwongo kwa laana yake. Kwa hiyo nawaambia, kwamba ulimwengu umewahi kuwadharau manabii wa kweli na kuwapenda waongo, kama inavyoonekana katika siku za Mikaya na Yeremiakwa maana kila mtu kama wake hupenda mfano wake."
Kisha kuhani akasema: "Masiya ataitwaje, na ni ishara gani itaonyesha kuja kwake?" Yesu alijibu hivi: “Jina la Masihi ni la kustaajabisha, kwa maana Mungu mwenyewe alimpa jina hilo alipoiumba nafsi yake, na kuiweka katika fahari ya kimbinguMwenyezi Mungu akasema: "Ngoja Muhammad; kwa ajili yako nitaumba pepo, dunia, na viumbe vingi vingi, ambavyo katika hivyo nakufanya kuwa ni zawadi, ili kwamba yeyote atakayekubariki atabarikiwa, na yeyote anayekulaani amelaaniwa.nitakapokutuma ulimwenguni nitakutuma kama Mtume wangu wa wokovu, na neno lako litakuwa kweli, hata mbingu na ardhi zitashindwa, lakini imani yako haitashindwa kamwe." Muhammad ni jina lake lililobarikiwa." basi umati ukanyanyua sauti zao, ukisema: “Ewe Mola tutume Mtume wako: Ewe Muhammad, njoo upesi uokoe ulimwengu!”
Kwa Sasa hapa Duniani ni Muislam pekee akisoma Taurati, Zaburi na Injili ndio mwenye uwezo wa kujua hili andiko lipo sawa au limechakachuliwa Kwa sababu tunaya QuranBarnaba muislamu! Injili hii haijatiwa mikono kama zingine?
Kwa Sasa hapa Duniani ni Muislam pekee akisoma Taurati, Zaburi na Injili ndio mwenye uwezo wa kujua hili andiko lipo sawa au limechakachuliwa Kwa sababu tunaya Quran
Hilo andiko hapo halijachakachuliwa lipo sawa labda ulichakachue wewe
Quran 61:6
- Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!
Kwa Sasa injili pekee iliyopo hapa duniani ambayo imeandikwa Kwa mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya BarinabaKwanini Muarabu huyu amejinasaba sana na Wayahudi kwenywe kutunga dini yake?.
Akajinasaba kuanzia kwa Ishmael.
Hujawah jiuliza?.
Siku ukijiuliza kwa Logic tu ndogo nje ya dini. Ndio siku utajua ukweli kuwa Uislam ni janja janja.
Kwa Sasa injili pekee iliyopo hapa duniani ambayo imeandikwa Kwa mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya Barinaba
Na injili ya Barinaba na ukristo ni kama bange na polisi na ndio maana ilifichwa Ili nyinyi misukule ya kikiristo musiisome na mpaka Leo hairuhusiwi kusomwa kanisani
Mnasoma hizo Injili zilizoandikwa na watu Kwa lengo la kuanzisha dini ya ukristo
Kitabu Cha mathayo , Mariko na Matendo vimeandikwa na Paulo mtu ambaye sio mwanafunzi wa Yesu Wala hajawahi kuonana na Yesu
Injili ya Luka imeandikwa na mganga wa kienyeji tena alikuwa mpagani na hajawahi kuonana na Yesu
Injili ya Yohana aliyeiandika Hadi Leo hii hajulikani ni nani hicho kitabu kiliokotwa Egypt miaka 30 Baada ya Yesu kupaa
Wewe mgalatia ndio unatakiwa uwaze nje ya box sio Muislam
Kitabu Cha mathayo , Mariko na Matendo vimeandikwa na Paulo mtu ambaye sio mwanafunzi wa Yesu Wala hajawahi kuonana na Yesu
Injili ya Luka imeandikwa na mganga wa kienyeji tena alikuwa mpagani na hajawahi kuonana na Yesu
Kwa Sasa hapa Duniani ni Muislam pekee akisoma Taurati, Zaburi na Injili ndio mwenye uwezo wa kujua hili andiko lipo sawa au limechakachuliwa Kwa sababu tunaya Quran
Hilo andiko hapo halijachakachuliwa lipo sawa labda ulichakachue wewe
Quran 61:6
- Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!
Kwa Sasa injili pekee iliyopo hapa duniani ambayo imeandikwa Kwa mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya Barinaba
Na injili ya Barinaba na ukristo ni kama bange na polisi na ndio maana ilifichwa Ili nyinyi misukule ya kikiristo musiisome na mpaka Leo hairuhusiwi kusomwa kanisani
Mnasoma hizo Injili zilizoandikwa na watu Kwa lengo la kuanzisha dini ya ukristo
Kitabu Cha mathayo , Mariko na Matendo vimeandikwa na Paulo mtu ambaye sio mwanafunzi wa Yesu Wala hajawahi kuonana na Yesu
Injili ya Luka imeandikwa na mganga wa kienyeji tena alikuwa mpagani na hajawahi kuonana na Yesu
Injili ya Yohana aliyeiandika Hadi Leo hii hajulikani ni nani hicho kitabu kiliokotwa Egypt miaka 30 Baada ya Yesu kupaa
Wewe mgalatia ndio unatakiwa uwaze nje ya box sio Muislam
Hizo Injili ulizotaja hakuna hata Moja iliyoandikwa na mwanafunzi wa YesuTulia nikueleweshe ww kafiri Kobaz.
1. Mathayo . Yohana mwana wa zebedayo na Petro walikuwa ni kat ya wale wanafunz 12 na waliandika vitabu.
Vitabu vingne vikiandikwa na mashuhuda waliokuwa kipind cha Yesu na wale waliokuwa karibu na wanafunz wa Yesu.
Hakuna kitabu cha agano jipya kilicho nje ya hapo.
2. Barnaba ni mshirika wa Paulo na hakuwa mwanafunz wa Yesu.
Wanafunz wa Yesu najua huwajui.
Ila UMEPOTOSHA na watu WAPUUZE hayo uliyoandika kwasababu umemvalisha mtu uhusika ambao hana.
3. Allah alisema atalinda vitabu vyake. Ameshindwa kulinda Injili ya barnaba?
4. Haya uliyoandika yote umekosea.👇👇👇👇
Bora mwenzako Jagina huwa ana chat gpt.
Kafiri Kobaz Ww uko shallow sana.
Katika Kobaz wote niliowah kujadiliana nao. Ww ndio Kobaz mwenye Akili ndogo so far.
Hizo Injili ulizotaja hakuna hata Moja iliyoandikwa na mwanafunzi wa Yesu
We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however,
Source website of Cambridge University
Aliyeandika kitabu Cha Yohana Hadi Leo hajulikani kama unamjua mtaje Ili Dunia ikupe zawadi
Maprophesa wa Cambridge University hawakufanikiwa kumjua
Waislam wanahangaika kweli kutengeneza habari za uwongo dhidi ya ukristo, wakiamini kuna wajinga watakaowaamini!
Msiojua, mfahamu kuwa hakuna kitu kinaitwa Injili ya Barnaba. Haikuwahi kuwepo, na wala haipo. Kinachoitwa maandiko ya Barnabas, ni maandishi yaliyobuniwa na makundi ya waislam kati ya mwaka 1,400 na 1,600 baada ya kuona uwongo juu ya Quran, na hadithi kuhusu Mohamed kuwa ni nabii, zinapata uzuizi wa kupokelewa. Lakini kwa sababu watengeneza hilo deal walikosa akili kuwa, waliandika wakiacha makosa mengi yaliyothibitisha kuwa ni maandiko fake.
Kwanza injili zote ziliandikwa zikitumia lugha 2 tu, Kiebrania na Kigiriki, hayo maandiko ta mchongo waliyoandika matapeli wa kiislam wakiyapa jina kuwa ni mafundisho ya Barnabas, walitumia lugha ya Kihispani na
The biblical Barnabas, mpanion of Paul) did not write the Gospel of Barnabas; it's a medieval text from around the 14th-16th centuries, written by moslems, full of anachronisms and Islamic theology, claiming a 1st-century origin but a forgery by scholars, as it contradicts the canonical Gospels and Christian history.
Key Points about the Gospel of Barnabas:
Why it's Different from Canonical Gospels:
- Pseudepigraphical: It falsely claims to be written by Barnabas, an apostle of Jesus.
- Dating: The earliest known manuscripts are from the late 16th century, written in Italian and Spanish, languages not used in 1st-century Palestine.
- Content: It harmonizes canonical Gospel stories with Islamic beliefs, denying Jesus's crucifixion and presenting a version of Jesus that aligns with the Quran.
- Anachronisms: It contains historical errors, like wine stored in barrels (not common then) or describing cities in impossible locations, proving it wasn't written by a contemporary.
- Scholarly Consensus: Scholars agree it's a medieval fabrication, not an authentic early Christian text.
- The Bible's canonical Gospels (Matthew, Mark, Luke, John) were written by apostles or close associates and accepted by early Christians.
- The Gospel of Barnabas emerged much later and was rejected from the biblical canon for its inconsistencies and later origins.
Hapo hakuna Injili hata Moja iliyoandikwa na mwanafunzi wa Yesu mme wekewa hayo majina Matayo, Yohana sijui Luka Ili kukuzugeni tu na kweli mmeingia1. Kwanza Hujui kingereza.
Soma tena vizur. Wamekiri kujua walioandika vitabu vyote ila cha John ndio hawajui.
Kwahiyo hoja yao iko kwenye John na sio vitabu vingne.
Nimekuambia nenda chat gpt kama mwenzako uone utopolo ulioandika pale mwanzo kuhsu injil ya barnaba na kusema eti hakuna mwanafunz wa Yesu aliyeandika kitabu .
Na barnaba alikuwa mwanafunz wa Yesu.
(Kama haujaenda kuhakikisha bas ukubali tu kuwa ww uko shallow kuliko makafiri kobaz wengne wanaoletaga hoja hapa jf)
2. Sasa nikujibu hoja yako.
Kwasababu haujaenda shule (kama ukiwa umeenda bas umeishia la nne).
John kwa Kishwahili ni Yohana.
Nakuwekea wanafunz wa Yesu.
Tafuta jina Yohana. Na kama umeliona bas huyo ndio aliandika kitabu cha Yohana.
Hawa hapa 👇👇
1. Simoni (Petro)
2. Andrio (Andrew)
3. Yakobo (mwana wa Zebedayo)
4. Yohana (mwana wa Zebedayo)
5. Felipe
6. Bartolomeo
7. Tomasi
8. Mateo (mwandishi wa ushuru)
9. Yakobo (mwana wa Alfeo)
10. Thaddaeo (pia anaitwa Yuda, mwana wa Yakobo)
11. Simoni Mkaniki
12. Yuda Iskariote
Nimeweka kwa Kiswahili. Kiingereza ningekuchanganya sana ww Kobaz.