Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,813
Leo ni mwendo wa mahubiri ya viwanda: Kwa hiyo tujikumbushe jinsi Bwana alivyozindua kiwanda cha kwanza kule kana ya Galilaya.
Ufunguzi wa kiwanda cha kutengneza wine uliharakishwa kwa vile kulikuwa na dharura.
Bwana hakuwa amejiandaa kuzindua kiwanda lakini kwa vile mama yake alimuomba akizindue, na uzalishaji uanze mara moja, basi Bwana, hakuna na namna.
Bwana alimuuliza mama yake, nina nini nawe, saa yangu ya uzinduzi bado.
Mama yake akawambia wale watumishi, lolote atakalowaambia, fanyeni.
Basi Bwana akwaambia wayajaze maji yale ma Simtank (mabalasi).
Wakafanya hivyo. Bwana akafanya mambo yake pale, yale maji yakageuka kuwa divai (wine).
Waonjaji wa TBS (mkuu wa meza) alipoionja ile wine akasema, hapajawahi kutokea kiwanda hapa nchini kwetu kinachotengeneza wine nzuri kama hii. Wakaibandika ile wine alama ya ubora wa TBS wakairuhusu iingie sokoni.
WITO: Maaskof, mahubiri ya viwanda ni wito unaotekelezeka kabisa. Tuhubiri viwanda.