Ingelikuwa wewe ungefanya nini?

Swali rahisi sana..speed ya tembo=Elephants can't run or jump. But they can walk up to speeds of 15 mph
speed ya gari =180000mph.
mkuu hapo swali solved.

 
Yaani kwanza nisingeruhusu dude kubwa hivyo kuchezea kagari kadogo kama hako ambako najua akikasirika tuu anakabinulia mbali huko
hapo ni speed ambazo hazisemeki na najua huko mbugani hawaruhusu ila utetezi wangu kuwa nimekutana na tembo aliyejeruhiwa akawa ananikimbiza
cc Mndengereko
 
Last edited by a moderator:
Hqpo nikuomba Mungu anieke peponi tu
 

yaani hapo kama gari ni manual basi ni kutia hadi gia ya mwisho kama auto ni kukanyaga accelerator mpk zidumbukie ndani
 
Namwambia kaka nakuomba niache kwanza nimpeleke mwenzangu akajisaidie halafu ntarudi baada ya muda mfupi
 
Namswaga kama ng'ombe arudi malishoni hiyo ni barabara asije akagongwa kkkkkk
 
Mamaweee,, kipusa kimenifuata chenyewe nangoa pembe nikapige heraaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…