hahahahaa ndo mawazo hayo wanapenda kuwa wanaume.Kwanini mkuu?
Nimekumbuka ishu moja nilikuwa nimekaa na demu mmoja akanambia angekuwa me na mimi ke angenibaka😀😱
sitaki hata kuimagine kakaImagine demu wako ndo amekuwa kidume anakuletea kibesi😀
so wewe umeimagine utakavyokuwa ke?Hahahaa Kumbe we mwoga eeh?
kaka umetaka mwenyewe sasaNadhani ningelia mwezi mzima
haahahahahaIs just imagination bro remember? Hahahaa
Is just imagination bro remember? Hahahaa
Najua, ila tulio wanaume tungeteseka sana.
Hahahaa mkuu ukute unam-treat vibaya wife, hapo ungekiona cha mtema kuni.
Nadhani misongo na suicide zingekuwa nyingi sana