Ingekuwaje kama Rais wa sasa angekuwa ametokea upinzani?

Luthertz

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
206
830
Nakaa najiuliza. Kwa haya yanayotokea kwenye covid 19, ukosefu wa sukari, wafanyakazi kutopandishwa mishahara, serikali kutoajiri, watu kutekwa, miili ya watu kuokotwo ufukweni, watu kotoweka na wengine kupigwa risasi hadharani, watu kubambikiwa kesi, n.k

Hivi, kama huyu Rais angekuwa amewekwa na chama cha upinzani, je wapinzani mgestahimili matusi ya CCM kwenu?
 
Chama kinachomuweka Rais madarakani hakiwezi kuwa cha upinzani, moja kwa moja kinakuwa chama tawala
 
Nakaa najiuliza. Kwa haya yanayotokea kwenye covid 19, ukosefu wa sukari, wafanyakazi kutopandishwa mishahara, serikali kutoajiri, watu kutekwa, miili ya watu kuokotwo ufukweni, watu kotoweka na wengine kupigwa risasi hadharani, watu kubambikiwa kesi, n.k

Hivi, kama huyu Rais angekuwa amewekwa na chama cha upinzani, je wapinzani mgestahimili matusi ya CCM kwenu?
Hayo yote mabaya yaliyotokea yasingekuwepo kwani kungekuwa na viongozi imara. Tatizo la nchi yetu ni ccm sijui kwanini watu hawaelewi.
 
Back
Top Bottom